Rostam Aondoka Nchini

Rostam anaweza kutoa somo zuri sana kuhusu uraia wa nchi mbili. Kama hatukuwa makini watu watafilisi hii nchi na kutuacha tunashangaa!
 
Tunaishi kwenye vyanzo vya kuaminika wakati huo huo tunataka mwenye habari kamili atujuze,maana yake nini?
Ungekaa kimya tu tungeelewa,na mbaya zaidi huyo muiran wala hatuna mpango nae maana kama kula keshakula vya kutosha na viongozi wetu walikula nae hivyo tunasonga mbele kuangalia yanayofuata.
 
Huyu RA ni mchacharikaji. Mwaka jana niliambiwa yuko Juba amewekeza kwenye visima vya mafuta. Tusubiri kama hamjasikia wamemtundika mchana kweupee.
 
Back
Top Bottom