Rostam Aondoka Nchini

Rostam Aondoka Nchini

Hii habari nimeisikia asbh RFA kwenye uchambuzi wa magazeti ila silikumbuki ,mgelifatuta ili tujue alipokimbilia 2015 baafa ya mageuzi asakwe

Kwanini msimtumie 2015 kupata hayo mageuzi? najua hiyo kazi anaiweza na itafanikiwa 100%
 
Hama wewe ambaye umeliwa naye,mimi hajanila!!!!!!!!!
mkubwa muogope Mungu, nami kipindi fulani niliwahi kusema hivyo lakini analysis ilipofanyika ndio nikajiona mjinga tu na akili iliyopo ni kukaa tu kwenye keyboard kama hivi
 
Hii habari nimeisikia asbh RFA kwenye uchambuzi wa magazeti ila silikumbuki ,mgelifatuta ili tujue alipokimbilia 2015 baafa ya mageuzi asakwe

BORA wewe umesema umesikia kwenye uchambuzi wa magazeti,acha huyu mtoa mada ambaye anatuambia kwamba zimetoka kwenye chanzo chake cha kuaminika halafu anaomba wakuu wamjulishe zaidi!huyu jamaa hana akiliaeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

Hebu angalia hii
quote_icon.png
By Bwana Mapesa Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.
 
mkubwa muogope Mungu, nami kipindi fulani niliwahi kusema hivyo lakini analysis ilipofanyika ndio nikajiona mjinga tu na akili iliyopo ni kukaa tu kwenye keyboard kama hivi

Katika hili hakuna cha kumuogopa mungu,narudia na hasa kwako wewe ambaye unaonekana mgumu wa kuelewa:Mkuu mimi sijaliwa na Rostam,kama wewe umeliwa naye basi ni huko huko lakini mimi hajanila hata kidogo si najijua Bwana!!!!!!!!!! na hata huyo Mungu unayemzungumzia anajua kwamba mimi sijaliwa na Rostam kama wewe haya ni hukohuko.
 
Huyu jamaa Rostam nasikia yupo Kenya na ameanza kumsurport
Laila Odinga kwenye kinyanganyiro cha urais.
naona ameona huku Bongo hakuna dili
 
Sisi tukichukua nchi hii haijalioshi watakua wamekimbilia wapi
tutawarejesha waje kutumikia kifungo chao halali na kurudisha mali ya uma waliyojilimbikizia tokea enzi na enzi..
 
Katika hili hakuna cha kumuogopa mungu,narudia na hasa kwako wewe ambaye unaonekana mgumu wa kuelewa:Mkuu mimi sijaliwa na Rostam,kama wewe umeliwa naye basi ni huko huko lakini mimi hajanila hata kidogo si najijua Bwana!!!!!!!!!! na hata huyo Mungu unayemzungumzia anajua kwamba mimi sijaliwa na Rostam kama wewe haya ni hukohuko.
tatizo siku hizi kiswahili kimepoteza mwelekeo!
 
Yap anamaanisha anayejua Kayoyoma na Bilioni Ngapi za walipakodi kwani naona kama ni kuondoka ameshathibitisha!!
 
Kwa hiyo? Hiyo habari peleka michuzi blog ndiyo kuna habari za kimbembea.
Mkuu, labda kwako ni za kimbea mbea. Kwa wengine kwetu kila habari ni muhimu, hata iwe ya udaku. Kazi inabakia ya kuzichuja, ipi ukubali na ipi ukatae.
 
BORA wewe umesema umesikia kwenye uchambuzi wa magazeti,acha huyu mtoa mada ambaye anatuambia kwamba zimetoka kwenye chanzo chake cha kuaminika halafu anaomba wakuu wamjulishe zaidi!huyu jamaa hana akiliaeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

Hebu angalia hii
quote_icon.png
By Bwana Mapesa Habari zenu wana Jf?
Kuna tetesi nimeipata kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kwamba yule Mfanyabiashara na Mwanasiasa mtata R.A ameondoka rasmi nchini jana..hii ni baada ya kuindosha familia yake kimya kimya na sasa amemalizia mwenyewe, kwa mujibu wa chanzo changu ni kwamba bwana R.A ameondoka nchini mazima ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kukimbia kivuli chake hasa baada ya kashfa za ufisadi kuzidi kuwaweka pabaya wafanyabiashara,viongozi na wanasiasa kwa ujumla.
Mwenye la kulijua zaidi na atiririke hapo chini.

inawezekana we ndo huna akili ni tetes na nilipoipata ni pakuaminika what i need s mo fact..sipo peke yangu humu Jf,na unatakiwa ujue hawa watu haishi kibata kama wewe au mtu mwingne inabidi uwe mjanja au utumie intelijensia ya hali ya juu ili upate complete Profiles zao..so usiwe unaongea tuu sababu una mdomo mkubwa..u have to thnk n share..ndomana hata wewe ukapost,sbbu umekuwa interested kujua..au kuna kilabu cha pombe kimefunguliwa humu Jf?
 
Talaria hii Kama ni kweli inatia uchungu sana hivi Nchi hii imelaaniwa?
 
AKIMBIE ANAOGOPA NINI??? SOMA HIYO....HUYU NI MUWEKEZAJI

Rostam Abdulrasul Aziz
(born 1960) is a Tanzanian politician and businessman. In 1993 he was elected as a member of the Tanzanian parliament on behalf of the Igunga constituency. He went on to win two consecutive terms as MP. Until November 2007 he served as finance and economic secretary of the Tanzanian parliament. In 2009 he was accused of corruption. In 2011 he quit politics to focus and grow his family businesses.

The Aziz's are a fifth generation Tanzanian family of Middle East origin. They settled in Tanganika after transiting in Zanzibar 150years ago. The family began farming sisal, rice etc. Today the Aziz family is among the most prominent business families in East Africa. They are engaged in everything from telecom, ports, agriculture, media, and contract mining.
The family businesses are considered to be one of Tanzania's largest conglomerates. Group holdings include:

  • Vodacom Tanzania Ltd (a subsidiary of Vodafone), the country's leading cellular network.
  • Caspian Ltd – The largest contract mining company in Tanzania contractor to DeBeers, Barrick among others.
  • Dar es Salaam Port – in partnership with Hutchison Wampoa
  • Wembere Hunting Safaris Limited
  • Africa Tanneries Limited
  • Tanzania Leather Industries Ltd
  • Various newspaper titles,
 
Back
Top Bottom