Rostam aishukia Serikali, aitaka iache kupitisha sheria kandamizi

Mkuu Rostam azizi ni mbia mkubwa kwenye Tasnia ya habari Tanzania, kama hujui uliza. Unajua gazeti la Raia Tanzania na Mtanzania nani anayamiliki? Je unajua Channel ten ni ya nani?
 
Mswaada upitishwe tu,watu wenyewe hawazingatii maadili.

Mfano Mengi na huyo Rostam wote wanapotosha umma kuhusu mgombea wao Lowassa.

Mswaada upite tu.

Angalau umeliona hilo, hivi rostam kati ya kuibia watanzania na uhuru wa habaru kipi muhimu zaidi?mafisadi bwana yanapoanza kumiliki media yanatutesa sana.uhuru gani wakati mtu pekee anayepewa kipaumbele kwenye media zao ni lowasa?kuanzia habari ya kwanza,picha ni huyo fisadi mwenzao.
 
Ukiona hivyo ujue masrahi ya mhusika yameguswa, Rostamu hatetei sheria za wala rushwa ziongezwe ukali na takukuru ipewe meno ila anaona sheria ya vyombo vya habari. Kama anaona masharti ni magumu ruksa ahamishe Mali zake kwasababu mtu mwenyewe hata si ndugu yetu alafu eti atupangie jinsi ya kuendesha nchi yetu, agenda uingereza akaanzishe media huko huko ...mwizi mkubwa huyu.

Acha ubaguzi wa rangi wewe, alafu hao aliowaajiri kwenye kampuni yake utawapa ajira akihamishia kampuni yake nchi nyingine?
 
Hamna Rostam Hamna Lowassa. Ukisikia Lowassa anatafuta Urais jua anayeutaka Urais huo ni Rostam. Hawa wawili wameunganishwa na ufisadi. Wakisema Richmond ni Rostam jua ni Lowassa mwenye Richmond. Wapo pamoja ktk Vodacom nk. Vodacom walau kwa Siku mtu lazima kupitia voda lazima wamkate walau shilingi 50,000/ hizi ni za kampaini ya Lowassa.

Umeona mbali,umeshajua habari za mtoto wa lowasa aliofanya vodacom?mtoto anafata nyayo za baba yake.
 
Itafika mahali kila mtu ataonja machungu ya hii serikali ya CCM na hata hawa wabunge wa kila kitu ndioo ipo siku hizi sheria zitawageukia.

Nani alitarajia kuna siku Rostam atakuja kuilaumu serikali hii ya CCM?
 
Acha ubaguzi wa rangi wewe, alafu hao aliowaajiri kwenye kampuni yake utawapa ajira akihamishia kampuni yake nchi nyingine?

Usiishi kwa kumtegemea mwanadamu mwenzio kama Mungu wako na imeandikwa hatutaishi kwa mkate tu ...tembea na maandiko utafunguliwa na mengi usiyoyajua mkuu.
 
EL kawashika pabaya mwaka huu,mtalamba ndimu mpaka mkome.'gwajima'
Hamna Rostam Hamna Lowassa. Ukisikia Lowassa anatafuta Urais jua anayeutaka Urais huo ni Rostam. Hawa wawili wameunganishwa na ufisadi. Wakisema Richmond ni Rostam jua ni Lowassa mwenye Richmond. Wapo pamoja ktk Vodacom nk. Vodacom walau kwa Siku mtu lazima kupitia voda lazima wamkate walau shilingi 50,000/ hizi ni za kampaini ya Lowassa.
 
Jamaaa anaeleweka, anauliza hivi
1. Imekuaje mwaka huu wa uchaguzi ndo mshikaji anaamua kurudi kwa kasi siku zingine anakuwa wapi kuja kutetea masrahi ya wananchi kama kweli ni mtetezi?
2. Kwanini akuwasiliana na viongozi wake wa chama ili wakampa motive ya msheria hiyo?
3. Tokea lini Rostamu akawa mtetezi wa wanyonge watz?
 
Rostam aache double standards...
Unakemea kitu ambacho wewe unashiriki kukipitisha kupitia chama chako unachokifadhili
 
Ukiona hivyo ujue masrahi ya mhusika yameguswa, Rostamu hatetei sheria za wala rushwa ziongezwe ukali na takukuru ipewe meno ila anaona sheria ya vyombo vya habari. Kama anaona masharti ni magumu ruksa ahamishe Mali zake kwasababu mtu mwenyewe hata si ndugu yetu alafu eti atupangie jinsi ya kuendesha nchi yetu, agenda uingereza akaanzishe media huko huko ...mwizi mkubwa huyu.

Mbona kesha hamisha mali zake Dubai . Nyumba yake huko palm jumeira Dubai ameinunua kwa $7,000,000/.
 
Ha ha ha Sheria ya Habari, waandishi wa habari mbona siwasikii?wapi maslahi yenu?wapi mikataba ya ajira maana mmetumika sana kama vibarua?wapi bima zenu, wapi mishahara inayoeleweka njooni basi mjitete wenyewe mkizubaa mtaendelea kukandamizwa na ma Tycon mpaka mkome shauri yenu!
 
Mswaada upitishwe tu,watu wenyewe hawazingatii maadili.

Mfano Mengi na huyo Rostam wote wanapotosha umma kuhusu mgombea wao Lowassa.

Mswaada upite tu.

mengi naye sijui kala maharage ya wapi siku hizi, nilikuwa namuona mtetezi wa maslahi ya taifa kumbe naye bure kabisa, anaangalia maslahi yake tu
 
Back
Top Bottom