Rose uu wapi?? am missing u!!

weka picha zake tukusaidie mpaka umpate.
Picha yake ni hii hapa Mkuu. naweka moja tu kwa sababu za kiusalama.
avatar23521_1.gif

Ahsante sana
 
Jamani aliyemuona dada Rose1980 naomba ampe salaam zangu, nammiss sana:behindsofa:

dah ras wangu m here ma beb boy
i was kind of bze....apa nimefanya kwenda toi ndo nimepata mda bt dah vangareat bt fm tomorow i wl b ok chatng madudu dudu fongo km kawaida.....missng u ma dear ras
kp t real sweetie...mwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
thax for missng me!!!!!!!
ntaku pm usijali ili nxt tyme ukinikosa usikonde sana ....utajua pakunipata!!!!!
satisfy ma soul
2.one love up by bob marley is ya dedication.....!!!!
m kp t greeen u just kp t red for the rainbow is over our shadow....!!!!!!!
 
Scan vizuri ID mpya za watu huenda kaja na ingine

ahh ngabu jaman usinfanyie ivo mwenzio
mi sna id mbili ....moja tu inantosha mwenzio sina tabia ya mbilmbili bwana
just one per time
sema i was tyt kiduchu bt nt id mbili apana noooooo sna sababu za kuwa na mbili
m just one n always i wl b!!!!!!!!
niaje lakin?salama?
pamoko babu!!!!!!
 
Lakini kwa nini afanye hivi??? hanitendei haki kabisa, any way ntamuomba invisible anisaidie kwa hili, coz am missing her so much and am worried!
ni kweli sna sababu za kufanya ivo
m here!!!!!
kdg una iman na mimi ras thax!!!
sna mbl nina moja tu mimi!!!!!!!!!!!
 
ni kweli sna sababu za kufanya ivo
m here!!!!!
kdg una iman na mimi ras thax!!!
sna mbl nina moja tu mimi!!!!!!!!!!!

sasa si umweleze tu Ras ukweli, ulikuwa wapi jameni?kumbuka tulikuwa busy mimi na wewe kuandaa ule mkutano siku 2 tu!
hizo days nyingine sijui ulikuwa na nani?jitetee
 
ahh ngabu jaman usinfanyie ivo mwenzio
mi sna id mbili ....moja tu inantosha mwenzio sina tabia ya mbilmbili bwana
just one per time
sema i was tyt kiduchu bt nt id mbili apana noooooo sna sababu za kuwa na mbili
m just one n always i wl b!!!!!!!!
niaje lakin?salama?
pamoko babu!!!!!!

Got you ma'

Ila mbona hupokei simu sasa?
 
Niko nae hanemuni....infakti tunakumbushia hanemuni yetu....

mhh swetie jaman ako kamzuzu ulkokaweka ni kanann?
mbona umesahahu beg moja kule hotelin jaman?
chanuo langu mbna silion swetie?
missng u jaman ukitoka mbez ukuje kwa brazil mida ya mbili tatu ntakuwa on
misssng u badly !!
 
sasa si umweleze tu Ras ukweli, ulikuwa wapi jameni?kumbuka tulikuwa busy mimi na wewe kuandaa ule mkutano siku 2 tu!
hizo days nyingine sijui ulikuwa na nani?jitetee

hahhaaa haaa we we bwana uchokoz sjui utaacha lin
toka zako tulikuwa wap???
ebu niletee uyoga wangu tena NATAKA UNILETEE NA MAYAI UYA KENGE MAWILI!!!!!!
 
dah ras wangu m here ma beb boy
i was kind of bze....apa nimefanya kwenda toi ndo nimepata mda bt dah vangareat bt fm tomorow i wl b ok chatng madudu dudu fongo km kawaida.....missng u ma dear ras
kp t real sweetie...mwaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
thax for missng me!!!!!!!
ntaku pm usijali ili nxt tyme ukinikosa usikonde sana ....utajua pakunipata!!!!!
satisfy ma soul
2.one love up by bob marley is ya dedication.....!!!!
m kp t greeen u just kp t red for the rainbow is over our shadow....!!!!!!!
Wooow! :whoo:thats my babe! watu ee yupo Honeymoon, mara ooo tulimuona sijui wapi kule na kule! mi sikuwasikiliza bana, nilijua tu upo busy laaziz! thanks kwa dedication, sasa mtima wangu utatuliza ball sbb ki kweli nilikumisso! hebu kamata kwanza hii dedication wakati napata jani> STILL IT UP By Bob Marley.
 
Kweli Rose anifanyie hivi!!! haiwezekani hii itakuwa Hujuma!!:embarrassed:

dahhh jaman ras mpk unantia machungu unavyolalamika...pole jamana
i promis u i wnt qut here again wtht letng u knw
m sor for the sononeko lililokupata
leo tutapata kitu cha kijamaica mwanzo mwsho u wl b marley n i wl b ruta marley
u wl che guevara n i wl b marcelina ol nyt loooong......
tutaanza na swaga za chile tutakuja za argentina then tukienda santiago na tukarud casablanca basi ntakuwa nshausuuza mtima wako
..m here ......sema NIKUPE NIN KM FIDIA YA MAPOTEO YANGU...ukimaliza futa mstari u....!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom