Rose uu wapi?? am missing u!!

Usijali Laaziz, najua unapenda nini wewe tena, Ntafurahi kupata majani zaidi na zaidi na uji ukiwa wa ulezi itakuwa mswano ile ileeee! hebu kabla haujaisha huo unganisha na huu hapa: NO WOMAN NO CRY!.. Pls fanya hima uniPM ili nijue wapi pa kukupata nisipokuona tena bana, roho isije konda tena...:dance:

hahahha hahah naona rtaha mie
lakin nikifukuzwa kaz utanisitr ras?manake nimeenda kujicheba chemba ili nichat apa
ntaku pm usijal wangu mi nba wewe tena ni km tosh na boby!!!
 
Yaani unanikana mbele ya umati wote huu, walahi nakwendea kwa sheikh yahaya, utaona lazima leo urudi nyumbani kwangu na ukirudi tu nakulaza miguuni hata uniambieje, sikupi....!!!

:fencing:
 
ulinz utaupata ukiwa na mayai ya kenge uku na uku una uyoga lasivyo count yaself ded!!!!!!!!!

jamani, eti haya ndo masharti ili nipate mzigo!sawa hamna tabu ngoja nigangamale mwanaume!
 
hahahha hahah naona rtaha mie
lakin nikifukuzwa kaz utanisitr ras?manake nimeenda kujicheba chemba ili nichat apa
ntaku pm usijal wangu mi nba wewe tena ni km tosh na boby!!!

usijali bana, wakikufukuza ntakuijia tuje ishi wote huku jamaica tule ndizi na majani kwa wingi!! ni mwendo wa ndizi na majani si utaweza babe? usijali taratiiibu utaanza then fresh: RIVERSIDE By Culture
 
hahahaah wewe
ebu usinipe raha mie nkalia sasaizi
nimesingiziwa saaaaaaaaaaana et ..ahh yule demu anavuta majan anapenda reggae uyo..dah ukiwa na masononeko moyon ukimsikiliza culture depression na hasira zote znaisha
ilike him
sikiliza adis ababa bwana
...kitu cha jumapili mwana afta chach nimeshiba faln ivi bas ni mwendo wa kuruka matope tu kwa geto
REGGAE IZ MA FAVOURATE
IMECAHANGIA SANA NIWE NA
1.UTU
2 HURUMA NA UNYENYEKEVU
3.IMENIONGEZEA BUSARA NA HEKIMA
5.IMENIFANYA NIWE MPOLE TU ATA KM MKU AKINICHOKOzA MI NAMCHUKULIA POA TU CZ JAH KASEMA TUCHUKULIANE KATIKA MAPUMGUFU YETU
KWA KWELI REGGAE IZ A LESSON BY TSELF NA REFERENCE NYING KWA SOCIOLOGY NILIKUWA NATOLEA KWA NYIMBO ZA REGAE
KP T TYT MA RAS!!!!!!
 
usijali man!peace man!Jah rastafarah!!!!
huwa napenda kumrusha kidogo huyo bidada!!!!!

UYOGA UUPELEKE WAP ROHO UJE UNIRUSHE MIE?
unikome babu tena unikome haswaaaaaaaaa!!!!!!
mayai ya kenge??????????
 
Hahahaha!...Usijali man, just kidding!!:peace:

sasa dina tutakula nin?
aples na water lemon tu siyo?
yap jana tulikula ndimu leo tubadili bwana ayo manyama tuwaachie akina bacha.. jah rastafal....
so many traaaaaaaaaaaaaaaaaabo in ths world.....malizia!!!!1
 
hahahaah wewe
ebu usinipe raha mie nkalia sasaizi
nimesingiziwa saaaaaaaaaaana et ..ahh yule demu anavuta majan anapenda reggae uyo..dah ukiwa na masononeko moyon ukimsikiliza culture depression na hasira zote znaisha
ilike him
sikiliza adis ababa bwana
...kitu cha jumapili mwana afta chach nimeshiba faln ivi bas ni mwendo wa kuruka matope tu kwa geto
REGGAE IZ MA FAVOURATE
IMECAHANGIA SANA NIWE NA
1.UTU
2 HURUMA NA UNYENYEKEVU
3.IMENIONGEZEA BUSARA NA HEKIMA
5.IMENIFANYA NIWE MPOLE TU ATA KM MKU AKINICHOKOzA MI NAMCHUKULIA POA TU CZ JAH KASEMA TUCHUKULIANE KATIKA MAPUMGUFU YETU
KWA KWELI REGGAE IZ A LESSON BY TSELF NA REFERENCE NYING KWA SOCIOLOGY NILIKUWA NATOLEA KWA NYIMBO ZA REGAE
KP T TYT MA RAS!!!!!!
Unachoongea ni kweli Rose, watu wengi wanawachukia Rastaman kwa kudhani wote wanavuta bangi na kupelekea kuuchukia hata mziki wa reggae na hivo kukosa message nzuri zipatikanazo humo.............Hahahahah I like Addis Ababa by Culture. Mimi nami ni mkristo lakini naupenda sana ustaarabu wa itikadi ya Rastaman and I have been following it for a long time now unasaidia sana katika kuondoa migongano na watu isiyokuwa ya lazima na hivyo kukuacha ukiwa fresh kifikra.. Umewahi kusikiliza Rastaman Prayer, VICTIMS au RESPECT za Lucky Dube? if not please zisikilize zina ujumbe mzuri sana...Jah Guide Zion daughter....
 
sasa dina tutakula nin?
aples na water lemon tu siyo?
yap jana tulikula ndimu leo tubadili bwana ayo manyama tuwaachie akina bacha.. jah rastafal....
so many traaaaaaaaaaaaaaaaaabo in ths world.....malizia!!!!1

la la la laaaa!!!.....Nadhani maembe na makomamanga ni mazuri zaidi kwa afya! waonaje tukila hayo halafu twashushia na maji ya Dafu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom