Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
kwanza kabisa nianze kusema nawaheshimu sana watu wanaomtumikia mungu kwa njia yoyote ile ila nina tatizo moja wadau wa jamvi hili.
Mimi ni mkiristo kiukweli napenda sana kuhudhuria matamasha mbalimbali ya muziki wa injili!
Kinachonishangaza waratibu wa haya mashindano wakiwa wanatangaza waimbaji watakaokuwepo huwa nasikia mara nyingi huyu mdada ROSE MHANDO Kwenye list anakuwepo.ila huwa haonekani kwenye tukio! badae watu huwa tunaombwa radhi kwa vile ni ukristo dini ya kusamehe tunasamehe!
Ila niseme tu mimi huwa siendi kwa ajili yake.naenda tu kama roho anavoniongoza!
Sasa naomba mnisaidie wadau huyu dada ni kweli analipwa hela na kuingia mitini? au ni watu tu wanatumia jina lake kuvutia watu?
Mfano tu jumapili alikuwa amealikwa mahali na kapokea tsh millioni mbili net...hakwenda wala hakuwa anapokea simu jtatu kadai alikuwa na mtu mahututi ila kumbe hiyo jpili inasemekana alikuwa mito ya baraka.Sina uhakika lakini mi kwa kweli sielewi!