kumbe wanakubaliana sio?
zaidi ya matano my dear
teh kweli kabisa hata mimi huwa sina flavour nae ... bora bahati ,huyo shusho...upendo nkone,john lisu honestly hawa wananibariki sana
Uoga wako ndio umasikini wako,acha kujifunxa kwa walioshindwa,
kumbe wanakubaliana sio?
Akaaah mie nikisiklisa nyimbo za mt kizito by mukasa zinanitoshaaaa....
Hao wasanii; siku hizi wanapatana na promota atumie jina lake kwa makubaliano ya kumpoooza kidogo.
Wiki iliyopita tulitangaziwa kuwa Rehan Bonkeh atakuwepo lakini hakutokea.
Huko ndiko dini zilipofikia.