tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,423
teh kweli kabisa hata mimi huwa sina flavour nae ... bora bahati ,huyo shusho...upendo nkone,john lisu honestly hawa wananibariki sana
Halafu km umegundua..nyimbo zake zinaongoza kupigwa kwenye mabaa...eg nibebe...na huu wimbo ambao sitaki ht kuusikia unaitwa utamu wa yesu.....namuona km ni kiagent cha shetan flani hivi..sorry to say this...upendo...bahati ..christina ukisikiliz nyimbo zao zina mguso wa rohoni..huyu bibie ni sebene oriented