Rose Chitala nakufagilia ila hapa ulichemka sana!

Wana JF Hayo yalikua mawazo yake lakini to be sincere heri hata mke kipofu kuliko mke mzuri wa sura asiye na heshima ukitaka kufanya utafiti uliza waliooa sura watakuambia,sio vibaya kuoa wazuri ila ukweli ndo huo.
Uwe unapiga hodi.....
 
huyu ndio Rose Chitalla mwenyewe
200272_161514047239828_4836460_n.jpg


hapo ni bichi matope nini?
 
Kama ndiyo huyo kwangu mimi naona hata yeye sio mzuri wala hana shape kwa sababu kila mtu na namna anavyodefine uzuri. Imempasa aache kujadili watu ambao hakuwaumba yeye kwa sababu kila mtu ameumbwa alivyo kwa mipango ya Mungu mwenyewe. waswahili husema hujafa hujaumbika
 
Kama ndiyo huyo kwangu mimi naona hata yeye sio mzuri wala hana shape kwa sababu kila mtu na namna anavyodefine uzuri. Imempasa aache kujadili watu ambao hakuwaumba yeye kwa sababu kila mtu ameumbwa alivyo kwa mipango ya Mungu mwenyewe. waswahili husema hujafa hujaumbika

aliyeumba watu aliridhika nao ndio maana akawaweka duniani.....sasa inashangaza pale mtu ambae hawezi umba hata sisimizi anapokosoa wengine....
 
Mwili futufutu kama kiroba
Tumbo kama Mimba ya panya.

Halafu anakuja na Unyanyapaa wake.
Mwambieni kwamba:
DUNIA TAMBARA BOVU,........
ASITUKANE WAKUNGA.......
HAJAFA HIVYO HAJAUMBIKA .
UKIUJUA HUU, HUU HUUJUI.
KENDA KARIBU NA KUMI.

Mapumziko mema ya mwisho wa Juma.
 
huyu ndio rose chitalla mwenyewe
200272_161514047239828_4836460_n.jpg


ndiyo maana alisema maneno hayo msilaumu kwani yeye mbaya wa sura na hajaolewa.hakuna mwanamke mbaya duniani unasikia rose,kila shetani na mbuyu wake,kwani ndoa ni kuuza sura? Soma vitu,fanya consultation kwa wataalm kabla ya kipindi,siku hizi kama mswahili mswahili unabwaja bwaja tayari mtangazaji,haya ndiyo matokeo ya shule zetu walimu walishagoma siku nyingi mwisho tunapata kina rose hawawezi kuchambua hata ya kuongea,mtaalam wa kuhonga mwili wake na domo tayari mtangazaji
 

200272_161514047239828_4836460_n.jpg


Sasa hapa inakuwaje tena
Inamaana yeye ni mzuri au mbaya?
Kwamujibu wa madai yake nadahani anaangukia kwenye kundi la "wabaya" kwa maana ya sura yake na umbo lake
Is she single?
 
Back
Top Bottom