Rose Chitala nakufagilia ila hapa ulichemka sana!

Kiziza

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
439
76
Ilikuwa ni topic inayosema uzuri wa Sura/Umbo au uzuri wa Tabia kipi ni muhimu zaidi kwa Mwanamke Times Fm.

Rose Chitala alishikilia msimamo wake kuwa uzuri wa sura/umbo ndio muhimu zaidi kwa mwanamke,huku mtangazaji mwenzie ambaye alikuwa ni mwanaume akisisitiza uzuri wa tabia ndio muhimu kwa mwanamke.

Ndipo Rose alipomwambia eti kama uzuri wa Mwanamke ni tabia basi oa Chongo.

Hivi kweli hii ni sentensi ya kutamka redioni tena kwa mwandishi wa habari?
Hivi ameshawahi kusikia neno Unyanyapaa?
Nimeshindwa kumuelewa!!
 
Kweli hapo alikosea anamaanisha wenye ulemavu hawastahili kuolewa?
 
Hivi huyu Rose Chitala ndiye yule aliyekua Radio One? na kama ni yeye ni nini kilimuondoa huko?
 
huyu ndio Rose Chitalla mwenyewe
200272_161514047239828_4836460_n.jpg

 
Wana JF Hayo yalikua mawazo yake lakini to be sincere heri hata mke kipofu kuliko mke mzuri wa sura asiye na heshima ukitaka kufanya utafiti uliza waliooa sura watakuambia,sio vibaya kuoa wazuri ila ukweli ndo huo.
 
Back
Top Bottom