wachezaji na wasanii wana ushawishi mkubwa kwa jamii sioni tatizo la jamaa tatizo la watanzania ujuaji mwingi mnakosoa hata furaha ya mtu kuna watu walizimia kumuona michael jackson tena ngozi nyeupe
pele na maradona vipi ushawishi wao achilia mbali ronaldo na mess
mkuu yule atabaki carlfonia tuuu sidhani kama atatoka nje ya hapo [emoji2] [emoji2] [emoji2] ila akija usisahau kuleta uzi hapaNasubiri 100Khalifa aje Bongo, dadeki lazima nimkumbatie na nimuombe nimwoneshe shoo ya kibabe
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Hujasomeka mkuu,ila daaah ROONEY kwenda everton imeniuma kinyamaaaaaa
Lkn tofauti ni wao kwa wao, huyo Rooney siyo wetu hivyo ni ajabu kwa mtu ambaye hata hajui kuandika Everton achilia mbali hata kujua ilipo kwenye ramani kumpapatikia Muzungu namna hiyo!
Mwenzenu alivyotoka hapo hakuoga...
Sasa hivi kitaani kwake anamtoza kila mtu buku buku kwa kila anayehitaji kumkumbatia maana bado ana ile harufu ya Rooney...
Acha wivu, wewe shule imekusaidia nn kama huwezi somo dogo kama hili, "hobbies"!Ukute hata kibarua hana na shule ilimshinda
Unamaanisha Inna ni cheap kiasi hiko?????????Lazma ainjoy
Maana shuhuli yang
Anajua tu vle inakuaga
[Color= yellow]Triple A[/color]
yani wanatamani angeenda kwao na juzi juzi hapa usher raymond alikuwa selengeti kwa taarifa yenuToka ujio wa Rooney na wenzie inaonesha imekuuma sana.
Acha wivu, wewe shule imekusaidia nn kama huwezi somo dogo kama hili, "hobbies"!
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Jambo Kasie....u been missed!!!Hahahahahahaa upooo?
Uwe na wakati mwema.
Inamsaidia nini? Huyu akiambiwa fanya.................... atakubali kwa huyo mzungu, rubbish!Mwanaume wa Kitanzania akijisalimisha kwa Muzungu!
Jambo Kasie....u been missed!!!
Hata sijui yupi pande ipi siku hizi...sijamuona kitambo.Shijamboo heheheee mish yuu tuu...
Salamu kwa pacha wako.
Hata sijui yupi pande ipi siku hizi...sijamuona kitambo.
Indeed Kasie...take care dearest...Haya maadam ni binadamu basi iko siku mtakuwa na tuu, ambayo haikutani ni milima.
Wakati mwema hapo ulipo.
Really?? halafu unatoa kwa mchepuko sioUshabiki Wa kijinga kama ni Mme wangu nampa likizo ya miezi mitatu .