Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Photoshop ya kibwege
kama ni kweli anatia aibu......
Huoni ilivyo ya uongo?
Yaani hamtataki kusumbua vichwa kabisaa, kila mnachoona mnatoa coments tu! hiyo yaweza kuwa picha duka (photoshop)
Kwani uliwahi kuiona huko nyuma?Huyu si chakulaa jamani! Si haba kuna kitu kimeishapita hapo! Mbona huko nyuma hakuwa hivi?
Hizo chupi za kiume zipo, kama vipi pita Quality Centre, kule juu kuna duka la vyupi ulizia hiyo modeli.