Ronaldo aweka rekodi mpya

Ronaldo hana akili. Na nafikiri ana matatizo ya kisaikolojia. Ego kama litoto lidogo.
 
Ronaldo kwa sasa ni kituko..
Mashabiki wa soka hawana shukrani, juzi juzi tu hapa ameimbwa sana, leo amekuwa wa kusimangwa
 
Hakuna Kocha alie na raha kama kocha yoyote yule anaefundisha timu aliyoko Ronaldo.

Fikiria tu kwa sauti kubwa watu wengi wanamtupia lawama Ronaldo kwenye game ya juzi wanasahau mlendani alikuwepo Vitinha alikuwepi Bruno ambao hawajatengeneza chance yoyote na sio hivo tu juna yule mchezaji mpya wa Madrid alikuwa kituko haswa..

Ukweli lqzimq usemwe wqchezqji wote walizingua sana .Sema jamaa kwakuwa anakikubali kama shemeji zangu wa Kihaya ndo maana lolote baya likimkuta zigo la Haja kubwa linakuwa juu yake.
 
Alitakiwa aseme mchezaji mwenye wafuasi wengi zaidi Instagram kuwahi kutokea.
 
Man U lilirudi garasa.
 
Lakini vipi unazungumziaje hii rekodi yake mpya aliyoiweka?
 
Rekodi nzuri
 
Unaonekana una chuki binafsi na CR7 siyo bure!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…