Mjomba Malume JF-Expert Member Joined Apr 8, 2025 Posts 903 Reaction score 1,317 Jun 24, 2026 #1 Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥 Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan: Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥 Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9 Jamaa anadai amerudi sasa "Haters Gonna Hate"🤣🤣🤣
Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥 Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan: Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥 Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9 Jamaa anadai amerudi sasa "Haters Gonna Hate"🤣🤣🤣
Mjomba Malume JF-Expert Member Joined Apr 8, 2025 Posts 903 Reaction score 1,317 Jun 24, 2026 Thread starter #2 Ronaldo has stolen the show.