Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Mchambuzi kwa Romney kushinda naamini he will have to atleast with either one of these two on condition pia kuwa anashinda CO... lakini kama CO inaenda kwa Obama (which it probably will).. Romney ni lazima ashinde kati ya hizi mbili. PA, OH, CO, VA, WI na FL haziwezi kwenda kwa mtu mmoja. At least thats how I'm reasoning.I doubt Romney kuchukua PA na OHIO,
Mkipata muda tazameni MSNBC Chris Mathew leo, ingawa hii channel leans on Dems, Chris huwa yupo very objective and almost right kila uchaguzi;
Kwa mtazamo wako, kati ya hizi, Obama most likely atashinda zipi? PA? Nevada? Wisconsin and Ohio? Kama akishinda zote hizi na kumwachia Mitt the rest of the battle ground states, Obama atashinda by about 2 to 5 electoral votes; Kwa mtazamo wangu, electoral votes zitakuwa karibu sana between the two, and this is what will make this election interesting mpaka dakika ya mwisho;Mchambuzi kwa Romney kushinda naamini he will have to atleast with either one of these two on condition pia kuwa anashinda CO... lakini kama CO inaenda kwa Obama (which it probably will).. Romney ni lazima ashinde kati ya hizi mbili. PA, OH, CO, VA, WI na FL haziwezi kwenda kwa mtu mmoja. At least thats how I'm reasoning.
Hapa Mzee Mwanakijiji unaongea kinyume...He he he.Today is like X-Mass Eve in American Politics. I love it!.Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.
That's my guess work
Mchambuzi Chris Matthew is the most biased ya watangazaji wa Kimarekani. MSNBC ni kama mouth piece ya Democratic Party. Chris Matthew anataka sana Obama ashinde.
Naamini Nevada itaenda kwa Obama na possibly PA, Wisconsin naamini itaenda Romney (sababu ya Paul Ryan mostly); na lakini pia kuna CO ambayo ina 'lean' towards Romney..Kwa mtazamo wako, kati ya hizi, Obama most likely atashinda zipi? PA? Nevada? Wisconsin and Ohio? Kama akishinda zote hizi na kumwachia Mitt the rest of the battle ground states, Obama atashinda by about 2 to 5 electoral votes; Kwa mtazamo wangu, electoral votes zitakuwa karibu sana between the two, and this is what will make this election interesting mpaka dakika ya mwisho;
Naamini Nevada itaenda kwa Obama na possibly PA, Wisconsin naamini itaenda Romney (sababu ya Paul Ryan mostly); na lakini pia kuna CO ambayo ina 'lean' towards Romney..
Unajua in the past kuna candidates (pia running mates) lost kwenye their home states...; ila kwa kweli Obama hali yake itakuwa ngumu mpaka last minute kwani key states ambazo hadi dakika ya mwisho bado haijulikani zipo upande gani zimekaa vibaya sana yani VA, OH, WI na FL, hizi zinabeba jumla ya 70 electoral votes, na the two candidates hadi sasa nadhani wamepishana by like 10-15 electoral votes iwapo mtu ukiamua kutumia figures ambazo zipo more conservative; Obama should be just above 200 right now huku Romney akiwa around 190; Hivi kwanini FL imegeuka this time around?
Unajua in the past kuna candidates (pia running mates) lost kwenye their home states...; ila kwa kweli Obama hali yake itakuwa ngumu mpaka last minute kwani key states ambazo hadi dakika ya mwisho bado haijulikani zipo upande gani zimekaa vibaya sana yani VA, OH, WI na FL, hizi zinabeba jumla ya 70 electoral votes, na the two candidates hadi sasa nadhani wamepishana by like 10-15 electoral votes iwapo mtu ukiamua kutumia figures ambazo zipo more conservative; Obama should be just above 200 right now huku Romney akiwa around 190; Hivi kwanini FL imegeuka this time around?
Sababu kubwa mbili - kwanza bado FL ni sehemu ya wazee wengi na watu wengi ambao wanaenda kukaa kula wakati wa baridi up north. Wengi wa hawa wanapiga kura FL japo wanatoka maeneo ya Midwest na East Coast. Hawa wazee (pensioners mostly) wengi ni conservatives. Lakini pia Wacuba wa Miami hawana nguvu waliyokuwa nayo miaka mingi nyuma na kwa kiasi kikubwa ushawishi wao kwenye siasa za Marekani umepungua hasa baada ya Raul Castro kushika madaraka Cuba na kuanzisha mageuzi mbalimbali. Lakini bado lipo kundi ambalo linataka vikwazo vizidi kule na hawajafurahishwa sana na Obama.
Uchambuzi humu ni wa kuhisia zaidi. Chungulieni na kule kwenye Intrade Real Time Quotes/Intrade Market Prices for General Election. Leo Obama yuko kwenye 70.3 vs. Romney 30.1. Hawajawahi kukosea hawa tangu waanze enzi za JFK vs Nixon