Romeo and Juliet

Romeo and Juliet

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Romeo and Juliet
Capture.JPG
 
Ah unanikumbusha mbali home tulikua na nyau mzuri sana aliitwa brown sasa kuna day tukamuona anagaragara sana kama vile anaumwa au antaka kutoka roho mama yangu alikua tafran...kumbe hakuwa anaumwa chochote alipata dume uko akatiwa mimba siku chache baadae tunamuona na tumbo haahahahaahhahaha tulicheka sana....
 
Alafu paka wa kufugwa bwana zao ni wale paka wa jalalani,kweli mapenzi hayachagui wa Oysterbay au wa Tandika.
 
Hahahahahaha nakwambia mipaka michafuuuu haishi kupiga misere home alafu alikua anazaaa kila siku mwisho nae akawa wa jalali...now tunae mwengine mwaka wa 3 sasa ni dume
 
Nyau dume ndo mpango mzima,ukifiga jike lazima upigiwe makelele dilishani saa nane za usiku.Tena mapaka kama ndo yanaomba penzi,yanagumia utafikili watu
 
Ambaye hajawahi kwenda dirishani nyumbani kwa mchumba/mpenzi wake na kuomba busu la hivo la kuagana awe wa kwanza kuponda.

Hapo unakuta mrembo ndo geti kali, saa mbili kasoro geti linapigwa lock, na funguo anakaa nazo m'baba. We chelewa kurudi halafu ukamgongee dirishani, uone majanga yake.
 
Back
Top Bottom