Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Sawa mkuuNakutania bana wewe tena hutaniw jaman
Sawa mkuuNakutania bana wewe tena hutaniw jaman
ahsante kwa kunitafutia jina zuri, hivi katekista kumbe anaweza kuwa hata mwanamke?
Hahaha.Ha ha ha ha nipo mzee... Bwana bwana mahitaj yao yako very complex
Kama ulijua vile6GS5168BOE7 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwenye namba 07....... tarehe 01/3/19 saa 4:40 PM. salio lako
Huu ndio msamaha wa ukwel.....
Sijawahi kuwaonaAhaa kwan hujawah kuwaona enhee? Matendo yako ni yale ya Mapendooo Daimaa
This is the best"Manka wangu leo nimeingiza pesa nzuri,tutamalizia kupauwa kile kibanda chetu"
Naku love Mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuwaona
6GS5168BOE7 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwenye namba 07....... tarehe 01/3/19 saa 4:40 PM. salio lako
Huu ndio msamaha wa ukwel.....
Utamu wake haujawahi kuchuja yaanihii sms tamu sana
Utamu wake haujawahi kuchuja yaani
Ha ha ha ha mzee miamala haina mbabe itangulize tu utasikia unaambiwa....Hahaha.
Naona wewe huwa unatanguliza muamala kisha unauchuna.
Hadi wanakusifia kwa comment pale juu. Ama kweli ukichelewa nyakati nazo zinakuacha.
Hapo upo kitandani unamwambia Bae unasubiri afanye nini? Achomeke?
Namaanisha chaja kwenye cable lakini.
Watoto wa kitanga mpo romantic.
joanah sijakuona hapa.
hii sms tamu sana
hauna mkuuHa ha ha ha ha Muamala hauna mbabe
Ndio nimempa kibuti sasaHa ha ha ha kumbe mzee mwenzangu ana hisa kwako acha tulitafakar kwanza
Duuh naomba nijue sababu ya huu ukatekista ama kuna jengne?Ndio nimempa kibuti sasa
Ni ukatekista tu hakuna lingineDuuh naomba nijue sababu ya huu ukatekista ama kuna jengne?