Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,304
- 11,642
Mengi na J ntuyabaliwe ni watu wazima na pesa lakini wana romantic wordsHayo maneno tunawaachia watoto wa shule umri huu nitafute romantic words kwel??
Mengi na J ntuyabaliwe ni watu wazima na pesa lakini wana romantic wordsHayo maneno tunawaachia watoto wa shule umri huu nitafute romantic words kwel??
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] hii sms tamu sana
Unafikir.msamaha anaombwa jackie ni wa kupostiwa twiter? Au unahis mapenz yao yalianzia kwenye romantic words enhew?Mengi na J ntuyabaliwe ni watu wazima na pesa lakini wana romantic words
Muhindi kulipa hela hiyo shida sana labda nipunguze sifuri then nigawanye kwa mbili
Kumbe ww muhindi[emoji28]ndo maana bahili[emoji848]...hyo ht kufanya pedicure haitoshi ujue..!
Kuishi kwa amani ni pamoja na kujikuna unapoweza sisi OG hatuwezi kufake muhindi analipa 5600 kwa masaa 9 nikikutumia hiyo 5k inatosha kufanya manicure
Tanzania ya viwanda
HahahaI love u crazy
HahahaaaHahaha
Mengi anapenda sana kusema hivyo!inabidi K lyin amfundishe maneno mengine!
😂😂6GS5168BOE7 Imethibitishwa. Tsh100,000.00 imetumwa kwenye namba 07....... tarehe 01/3/19 saa 4:40 PM. salio lako
Huu ndio msamaha wa ukwel.....