Roman catholic na umasikini duniani

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,025
32,474
Roman Catholic duniani wapo 1.166 billion, kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, jambo la kushangaza zaidi zile nchi zenye waumini wengi wa Catholic duniani ndio zinaongoza kuwa na masikini wengi na biashara za madawa ya kulevya na biashara za ukahaba, tuziangalie nchi zenyewe.
Argentina 92%
Brazil 95%
Bolivia 95%
Chile 70%
Colombia 90%
Costa Rica 76%
Cuba 85%
Dominican Republic 95%
Ecuador 95%
Haiti 80%
Honduras 97%
Mexico 77%
Nicaragua 58%
Panama 85%
Paruguay 90%
Malta 98%
Peru 81%
Philppines 81%
Puerto Rico 85%
Timo-leste 98%
Jamaica 65%
Venezuela 96%
Sao Tome and Principe 96%
Latin america peke yake kuna wa Catholic 580,590 Milion, Catholic wanapenda haya mambo au tatizo ni nini.
 
Kama watu ni makahaba na wauza unga unataka wachinjwe hadharani?, Vitabu na Miungu iko tofauti, Mungu wa Sharia amekupeni nyie mamlaka ya kuchinja na kupiga mawe, Mungu wa wakatoliki atakuja kuhukumu wazima na watu na ndio wanaye muogopa huyo ambaye anauhisha roho na mwili,
Kazi ya wakatoliki ni kuwaonya na kuwafundisha watu, wakiamua kufuata sawa wakiamua kufuata njia zao sawa,
 
ritz
Senior Member

Join Date
Sat Jan 2011
Posts

79
Thanks
0
Thanked 6 Times in 5 PostsRep Power
21
 
Jitambulishe kwanza maana haueleweki. Huo uchambuzi wako umeangalia kigezo gani au umelinganisha nini na nini? France,Spain, Switzerland, Italy, Belgium, Netherland mbona hazipo? Na kwa maoni yako wewe unadhali Mexico,Venezuela,Puerto Rico,Brazil ni masikini. Pole sana.
 
Where is poppy (for heroin) grown?
Where is betel leaf more consumed?
Where is khat (Miraa or mirungi) more consumed?
 
Jitambulishe kwanza maana haueleweki. Huo uchambuzi wako umeangalia kigezo gani au umelinganisha nini na nini? France,Spain, Switzerland, Italy, Belgium, Netherland mbona hazipo? Na kwa maoni yako wewe unadhali Mexico,Venezuela,Puerto Rico,Brazil ni masikini. Pole sana.

hizo nchi nilizozitaja ndio zina masikini wengi na biashara za ukahaba na madawa ya kulevya fanya na wewe utafiti kama unapinga hilo
 
Hili jukwaa ni la utambulisho...................peleka huu mjadala hoja mchanganyiko ndipo litajadiliwa vizuri please!!
 
Roman Catholic duniani wapo 1.166 billion, kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, jambo la kushangaza zaidi zile nchi zenye waumini wengi wa Catholic duniani ndio zinaongoza kuwa na masikini wengi na biashara za madawa ya kulevya na biashara za ukahaba, tuziangalie nchi zenyewe.
Argentina 92%
Brazil 95%
Bolivia 95%
Chile 70%
Colombia 90%
Costa Rica 76%
Cuba 85%
Dominican Republic 95%
Ecuador 95%
Haiti 80%
Honduras 97%
Mexico 77%
Nicaragua 58%
Panama 85%
Paruguay 90%
Malta 98%
Peru 81%
Philppines 81%
Puerto Rico 85%
Timo-leste 98%
Jamaica 65%
Venezuela 96%
Sao Tome and Principe 96%
Latin america peke yake kuna wa Catholic 580,590 Milion, Catholic wanapenda haya mambo au tatizo ni nini.

Sina uhakika hasa nia yako ni nini, lakini pia umejitia upofu au kwa makusudi au ili kufanikisha lengo (baya) lako.
baada ya kuwa umehusisha Ukatoliki na umaskini ndio hapo mjadala ungepaswa kuanzia, laini kwa sababu huna nia nzuri (na ndio maana wapo watakaokuporomoshea matusi) ukaongezea masuala ya umalaya na biashara ya Ukahaba.

Unapotaja umaskini huwezi kuutenganisha na masuala ya ukahaba, magonjwa ya kuambukiza (infectious diseases), matukio ya uhalifu (crime), ongezeko la vifo vya vya kina mama wajawazito na watoto wachanga n.k

Kwa hivyo sioni hoja unayotaka ijadiliwe ni ipi? Ukatoliki na Umaskini au Ukatoliki na wanavyovipenda zaidi?
 
Naona ni mtazamo wake tuu!
Ila hakuna uhusiano kati ya urc na umaskini
 
hizo nchi nilizozitaja ndio zina masikini wengi na biashara za ukahaba na madawa ya kulevya fanya na wewe utafiti kama unapinga hilo

Nikishafanya utafiti then what? Masikini wa tanzania watapata nafuu na huo utafiti au?
 
Hawa watu wanaoleta maada za namna hii sijui wametokea wapi, lakini naamini ni watu maalumu waliotumwa na watu maalumu kufanya kazi maalumu kwa malipo maalumu na kwa mda maalumu.

Hoja zenye asili ya udini ni za kutupilia mbali.
 
Back
Top Bottom