Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

Wepesi sana hawa mkuu ndio maana waona nawadharau hata kuwajibu siwajibu...
Nina miaka mitano sasa naandika JF kwa hiyo nimeshaona kila rangi na nishaona kila aina ya watu humu.
Mtu mpumbavu hatupaswi hata kumpa heshima ya kumjibu.
Sie twasonga mbele, ikiisha uzi huu twaweka mwingine tena tena, roho ziwaume mpaka wapate viungulia.

Wepesi sana hawa... wepesi kama karatasi. Na hawastahili hata heshima ya kujibiwa.
Yesu alikosolewa,sshangai kuona habibu anakosolewa na tusishangae kuona anakosolewa..wakosoaji wapo tu snce day one...ni kuwapuuza tu...ttzo watz wengi ni much kno sana..wew km una ukwel wako ambao unaona unafaa kuletwa hapa ulete sio unaongea ongea km barmaid ameona mwekundu...
 
The bold tupo pamoja sana mkuu,, nothing to reply kwa mpumbavu keep going bro. Usisahau kunitag oligarchy
 
Dawa ya The Bold huwa ni kutosoma stories zake! He seems to be busy more than Mr President himself!
 
Broo nimesoma coment yako mara 2 mbili umeandika point...mimi ni mtu ninayependa upinzani katika hali yoyote ile so kwa ulichokiandika kimeengeza ufahamu wangu kwenye maswala kolonimamboleo..Asante
Habibu B. Anga,
Kwa akili ya haraka haraka tu suala kama hili haliwezekani likafanyika kwenye nchi za magharibi au hata hapa Afrika leo hii. Lakini hivyo ndivyo mambo yalivyoendeshwa kihuni nchini Rusia miaka ya tisini na mwanzo mwa 2000. Hiyo ndio maana hasa ya 'Wild Wild East.!""

Mwandishi, hapo penye kivuli (bolded paragraph) ''nimepatoa kwenye utunzi wako'' hii inafanyika hata sasa tena kote duniani siyo ulaya, Russia, Asia tena Afrika ndiyo watu wanauana kila sekunde kama kuku.

Nafanya, forensic investigation katika financial institutions na crime scenes wengi wao ni mambo hayo yanaendelea tena dunia nzima labda nikusaidie tu kuwa matukio hayo bado yanatokea lakini yamepungua.

Kama unajinadi kuwa una vyanzo vya intelijensia hapo Tanzania na Afrika ya mashariki usingeweza kushindwa kuelewa kuwa mambo hayo yapo kila sekunde.
Kajielimishe tena kuhusu mauaji ya hapo Tanzania na Afrika Mashariki hata Afrika nzima.

Mfano hapo Tanzania ; unaelewa ni kwa nini wahindi wanaishi maisha wanayoishi ?
Mfano, hapo hapo Tanzania, unadhani kuwa distributor /wholesaler wa bidhaa fulani fulani hivi ambazo baadhi ya watu wanajiona kuwa ni haki yao ; unadhania ni watu wangapi wamekufa? Mfano SODA, Vituo vya Mafuta, kumiliki hotels (humu JF tu kuna uzi wa mmiliki mmoja wa hotel hapo Jiji la Makonda alipigwa risasi kisa umiliki wa eneo na hotel, wanajukwaa ndiyo wameandika humu JF ) n.k.
Je, unajua ni watu wangapi wamekufa kwa sababu ya kutaka kuuza bidhaa hizo hapo tu Tanzania?.

Twende Kenya , kwao ni biashara na siasa wanauana kila wakati; mfano miaka 2 tu iliyopita Kenya walimzingira kigogo (biashara na siasa chanzo cha kifo chake) wakamtoa roho yake mbele ya familia yake (mke na watoto wakishuhudia).

Rwanda ndiyo usiseme kwa jinsi palivyochafuka. (Rwanda mwezi hauishi), sasa Uganda nako hali tete.
Afrika ya Kusini, Nigeria, kote tunaelewa.

Nchi za Magharibi hasa huko USA, wanamuziki wanauana kama kuku kwa risasi, sumu, ajali za barabarani za kutengenezwa.

Hivyo, ukiandika kuwa Ulaya, USA hata Afrika hakuna hayo sijui unazungumzia dunia nyingine yenye majina haya au ni hii tuijuayo wote?

Kama nawe u mtu wa intelijensia huko uliko yaani utakuwa ni mzigo kwa hiyo taasisi.

Boy, you got wrong information from your secret service compatriots.
 
Habibu B. Anga, post: 33180652, member: 141659"]
Wepesi sana hawa mkuu ndio maana waona nawadharau hata kuwajibu siwajibu...
Nina miaka mitano sasa naandika JF kwa hiyo nimeshaona kila rangi na nishaona kila aina ya watu humu.
Mtu mpumbavu hatupaswi hata kumpa heshima ya kumjibu.
Sie twasonga mbele, ikiisha uzi huu twaweka mwingine tena tena, roho ziwaume mpaka wapate viungulia.

Wepesi sana hawa... wepesi kama karatasi. Na hawastahili hata heshima ya kujibiwa.
[/QUOTE]


Ukiwa muongo , jaribu kutunza kumbukumbu.

Eti una taarifa za kiintelijensia za nchi za Afrika ya Mashariki,,,, haaaaa haaaaa teeeeh teeeeeh.

Vituko havitakaa viishe duniani,
 
Mniwie radhi sana wakuu... nina wiki karibia sijaingia humu na sikuwa sana online sana.
Naomba mniruhusu kesho niweke. Nitaweka yote mpaka mwisho wa makala tumalize huu uzi tuanze ngwe nyingine..

Kumradhi sana wakuu.. kesho mchanatumalizane na hii makala.
Mbona kimya kingi au mkuu Habibu B. Anga nae kapatwa na heart attack
 
Mifereji ya Damu mbona nilimaliza chief. Au haujapata sehemu za mwishoni??

Nafurahi pia kurejea Jukwaani mkuu.

Wala usijali chief, hawa watukanaji nimewazoea.. ni kama pilipili kwenye mboga, mie nawaona wanafanya uzi uzidi kunoga, maana hata wapumbavu nao wanahitajika duniani ili wenye hekima waonekane wana hekima.
Mkuu tumefarijika sana kurudi kwako jukwaani, tulikua tunamsumbua sana niffah akufikishie salamu zetu.
Pia hongera sana kwa kazi kubwa unayoifanya ingawa kuna mipuuzi michache kazi yao ni kuwakatisha wenzao tamaa kwa dharau na kejeli za kipuuzi.
Mkuu lini utatumalizia ile ya mifereji ya damu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom