Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

Kwa wastani huko wanalipwa around dola 3000 per month roughly

Dolla 100 kwa siku na unweza kuta ana kazi mbili au tatu

Hizo Ni around milioni 7 kibongo bongo

Ukija bongo MD analipwa 1.5m after makato anaambulia 850-900k

Masikini ya ulaya sio sawa na masikini ya TZ
Nani amekuambia hivyo mkuu..mimi niko Denmark apa tunalipwa hela ya kidenimak ambayo ni sawa na usd13 per hour. Ila bongo aturudi aise, ata iweje

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hayo mahesabu, hujatoa kodi, na matumizi pia ni makubwa kuliko bongo.
Mkuu achana na stori za vijiweni.Mambo sio marahisi kama ulivyoweka hapo

Mkuu hata Bongo mambo sio rahisi pia, kila kitu kina ugumu wake. Ni bora kubeba box ughaibuni kuliko kutembeza kimachinga Dar es Salaam. Ukikomaa na box miaka kadhaa, unarudi Bongo uko na kibanda kizuri, shamba na life experience ya kutosha. Watu wanaolipondea box mi sikubaliani nao kabisa.
Ukisema kodi, hiyo ndio imewafanya hawa watu wawe na maendeleo. Uzembe wa kukusanya kodi, rushwa na madeni ndio unaofanya nchi za Afrika ziendelee kuwa masikini wala sio kitu cha kujivunia.
 
Dola 13 Ni Kama buku 30 hivi kwa saa kumi una laki 3 kwa sku 90 una milioni Tisa mshahara wa CEO Tanzania

Nani arudi bongo
Milioni 9 kwa mwezi kwa USA ni pesa ndogo sana!! Labda awe analala nje kwenye sub stations ndio ataweza kutuma hata usd 200 home kwao TZ.
 
Mkuu hata Bongo mambo sio rahisi pia, kila kitu kina ugumu wake. Ni bora kubeba box ughaibuni kuliko kutembeza kimachinga Dar es Salaam. Ukikomaa na box miaka kadhaa, unarudi Bongo uko na kibanda kizuri, shamba na life experience ya kutosha. Watu wanaolipondea box mi sikubaliani nao kabisa.
Ukisema kodi, hiyo ndio imewafanya hawa watu wawe na maendeleo. Uzembe wa kukusanya kodi, rushwa na madeni ndio unaofanya nchi za Afrika ziendelee kuwa masikini wala sio kitu cha kujivunia.

Maghorofa mengi kwenye maeneo yanayokua wanaojenga ni diaspora....Mbele ni Mbele tu.
 
Uyo mjinga yuko bongo tu amna lolote juzi kati hapa stamina alikua anahojiwa na mtangazaji kajichanganya kasema roma juzi nlikua nae mtangazaji akastuka kamuuliza kumbe roma yupo?? Jamaa kagoma kuhamisha mada akakataa kuongelea
 
Milioni 9 kwa mwezi kwa USA ni pesa ndogo sana!! Labda awe analala nje kwenye sub stations ndio ataweza kutuma hata usd 200 home kwao TZ.
Inategemea anaishi state gani, mji gani na nyumba ya gharama ipi. Gharama za maisha zinatofautiana sana kutegemea na unaishi wapi, mfano tofauti ya gharama za maisha za New York na Houston ni kama mbingu na ardhi. Kwa bachelor mwenye nia ya ku-save ni kuchukua tu bed seater na pesa ata-save sana tu.
 
Uyo mjinga yuko bongo tu amna lolote juzi kati hapa stamina alikua anahojiwa na mtangazaji kajichanganya kasema roma juzi nlikua nae mtangazaji akastuka kamuuliza kumbe roma yupo?? Jamaa kagoma kuhamisha mada akakataa kuongelea
Umemficha wewe?
 
Back
Top Bottom