Roma bado inatawala dunia

Kwa hiyo elimu dunia kubwa uliyonayo itakuokoa na kwenda mbinguni?
"Mkamate, sana Elimu wala usimuache.....
"

Vipi unafikiri ni Elimu gani hiyo....? We hujui mwili ni nyumba Roho..? Hivyo hiyo nyumba lazima iwe kamili ktk kila idara ili roho iwe salama...
Endelea kushangaa feri
 
Ukweli gani..? Aliyekuambia Wakristo wanasali Jumamosi ni nani...?

Kumbuka Wasabato siyo Wakristo
Aliyekuambia wasabato ni wakristo ni nani? Maandiko gani yanasema wasabato sio wakristo yaweke hapa.
Unauhakika gani Roma wanaabudu ukristo kweli?
 
Hata hiyo America inatokana na rumi, kimbuka America imeundwa na mataifa yapi? Ni kutoka nchi za ulaya, hats mwanzilishi wa hilo taifa George Washington alikuwa mwingereza pia marais wote waliofuata asili yao ni ulaya kasoro Obama peke yake ila ukumbuke hats Obama mama yake ni mzungu.
Selikali zote za marekani wanamheshimu sana papa na kufuata maagizo yake, na hakuna rais yeyote wa marekani anayeingia madarakani na kuondoka bila kufika Vatican kuapata maagizo jinsi ya kukamilisha new would oder. Jaribu kutafuta hotuba za George w. Bush kila alipokutana na pope alisemaje?
Sasa mkuu kwa nn usitumegee kabisa tujue alisemaje W bush unakata uhondo wote akyanan
 
Ufunuo 17:10 Na kuna wafalme saba: watano wameanguka, mmoja yuko, yule mwingine bado hajafika, lakini atakapofika lazima adumu kwa muda mfupi. 1.Misri
2.Ashuru
3.Babiloni(Babeli)
4.Umedi na Uajemi
5.Ugiriki(Uyunani)
6.Roma(Rumi)
7.Uingereza na Marekani.
Hii inapatana kabisa na sanamu ya ndoto ya Nebkadneza kwenye Danieli sura ya 2.
 
  • Thanks
Reactions: Kjn
Roma bado inatawala dunia: ingawa ilianguka mwaka 476 AD ila athari zake zilikula dunia yote, ndo maana primary tulisoma no. za Kirumi na hata saa na Kalenda tunatumia za Kirumi na mataifa mengi yana sheria za Roma mpaka lugha zao tunazitumia. Roma haikuanguka kama inavyosemwa bali ilisambaratika na kuwa nchi za Ulaya ambazo zilikuja kuwa zenye nguvu na kutawala karibu dunia yote na kusambaza utamaduni wao. Mfano Uingereza imetawala bara Asia mpaka bara Arabu, hata ufalme wa Yordan, Saudia, Qatar zimewekwa na Uingereza. Kwaiyo ukisikia jumuiya ya madola tambua hizo ni nchi zilizotawaliwa na the greater Britain. Na Ufaransa, Spain, Portugal nazo hivo hivo.
Ulaya(Roma ya zamani) bado ina mkono mkubwa juu ya nchi za dunia hii. Ndo maana wameweka mahakama yenye sheria za Roma(The hague) ambayo daima ikiwahukumu viongozi wa nchi maskini, utake usitake ukiitwa hapo utaenda tu, na ukibisha utatolewa kwa bunduki.
Nabii Daniel alisema hivi juu ya Roma.
23 Akanena hivi, Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia, utakaokuwa mbali na falme zile zote, nao utakula dunia yote, na kuikanyaga, na kuivunja vipande vipande. Daniel 7
Huu utawala wa Roma utadumu mpk Kuja kwa Yesu. Roma imeathiri dunia kisiasa, kidini, kisheria na kitamaduni na nchi yeyote inayokataa hoja za Roma lazima iangamizwe. Sadamu, Gadafi waliangamizwa sababu walipingana na utawala wa Roma, na sahivi Assad anakinywea kisha # Iran itapotezwa. Nabii aliona jinsi wana wa Ishmael(waarabu) wanavyopinduliwa na Roma maana hao waliifukuza Roma karne ya 7 na Roma ikajirudi tena kwa namna ya kuwaweka vibaraka wao ktk falme za Kiarabu kama ufalme wa Saudia, Qatari, UEA na Jordan hao wote ni puppet wa Roma. Na wote watakao pinga watafanyiwa hivi:-
Naye ataunyosha mkono wake juu ya nchi hizo, hata na nchi ya Misri haitaokoka. Daniel 11:42
Utawala wa Roma utaziangusha nchi zote pinzani zikiwemo nchi za Kiarabu na dunia itamstajabiwa mnyama yule(ufalme huo) na kuufata. Ufunuo 13:3 NIV
ROMA itatengeneza utawala wa dini na kulazimisha dunia yote kufata dini hiyo na watakao pinga watauawa.
Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe. Ufunuo 13:5
Roma haitaangushwa na wanadamu......
......wakisema, Ni nani afananaye na mnyama huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye? Ufunuo 13:4
Roma itaangushwa na Mungu tu.
Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu. Ufunuo 18:8
Take care usije anguka na Roma

a1175df048e7c5de0a0fe3db44ef801f.jpg
na vyeti feki waroma wengi
 
Dini iliyosafi,isiyo na taka mbele ya MUNGU BABA ni hii,kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao..na kujilinda na dunia pasipo mawaa..
 
Usabato wako au uislamu wako au ukristo wako sio kinga ya wewe kuingia mbinguni...au kusali ijumaa jumamosi au jumapili.....
 
Nani kasema anadanganywa..? Yani ukweli tudanganywe.. ?

Nashukuru maana n wewe umejua kuwa Papa wa Kwanza ni Petro..Yes! Ni Petro......Wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu jitalijenga kanisa langu...wala milango ya kuzimu haitalishinda.....
Ndio! Petro..Baba Mtakatifu wa Kwanza...
Endelea kuwanyoroshaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom