Roma bado inatawala dunia

Wewe kuona neno The hague umekariri ni ile ya uholanzi,

Unaelewa maana ya neno THE HAGUE? Usikurupuke
Kama si ya Uholanzi...wewe unazungumzia THE HAGUE ya wapi?

Maana ya The hague ni ipi?
 
HIVI KANISA LA SABATO LILIANZA LINI?

MISINGI YAKE NI IPI?

WANASIMANIA NINI HASA?

Kwanini dhehebu lianzishwe na Mwanamke ? Mbona kama watu mnamdhihaki Mungu?
 
HIVI KANISA LA SABATO LILIANZA LINI?

MISINGI YAKE NI IPI?

WANASIMANIA NINI HASA?

Kwanini dhehebu lianzishwe na Mwanamke ? Mbona kama watu mnamdhihaki Mungu?
Ni vituko mkuu...

Seventh Day Adventist siyo Kanisa ni Kikundi cha Kiharakati kilichoanzia huko Marekani..
Ni Muunganiko wa Vikundi vitatu.
1. Kikundi cha William Miller
2. Kikundi cha Joseph Bates na Hiram Edson
3. Kikundi cha Ellen G White(Huyu mama alikuwa kichaa)

William Miller alufukuzwa kwenye Kanisa lake la Baptist, Ellen G White na Mumewe James White walitimuliwa kwenye kanisa la Methodist.....
Ni mambo mengi sana..
 
Kama si ya Uholanzi...wewe unazungumzia THE HAGUE ya wapi?

Maana ya The hague ni ipi?
Ndio maana nikamuuliza...' unajua maana ya Arusha'

Sasa swali lake sikujua lililenga kujua maana na mji wa The Hegue au chimbuko la mji wa The hegue
 
Ni vituko mkuu...

Seventh Day Adventist siyo Kanisa ni Kikundi cha Kiharakati kilichoanzia huko Marekani..
Ni Muunganiko wa Vikundi vitatu.
1. Kikundi cha William Miller
2. Kikundi cha Joseph Bates na Hiram Edson
3. Kikundi cha Ellen G White(Huyu mama alikuwa kichaa)

William Miller alufukuzwa kwenye Kanisa lake la Baptist, Ellen G White na Mumewe James White walitimuliwa kwenye kanisa la Methodist.....
Ni mambo mengi sana..
Nilichogundua...kubishana na watu kama hawa wasio na logistics wala points katika wanayoyaandika ni kujishusha kiuelewa kabisa.

Wao wameaminishwa na kumezeshwa nao wakameza tu...!

Leave them.
Ndio maana nikamuuliza...' unajua maana ya Arusha'

Sasa swali lake sikujua lililenga kujua maana na mji wa The Hegue au chimbuko la mji wa The hegue
 
Ukitaka ijue ni mudi soma Biblia Takatifu yoote utang'amua tu..
acha uongo Yesu alikuwepo kabla ya mudi na bible inasema yesu ndio atakuja kuwakomboa wazima na wafu sasa huyo mudi alisema hayo wapi?
 
Ukitaka ijue ni mudi soma Biblia Takatifu yoote utang'amua tu..
acha uongo Yesu alikuwepo kabla ya mudi na bible inasema yesu ndio atakuja kuwakomboa wazima na wafu sasa huyo mudi alisema hayo wapi?
 
Kwahiyo na wewe kwa kufuatilia habari hata hujui kama ni propaganda ukakimbilia ku-coclude...???

Hebu acheni mambo za William Miller, Joseph Bates na EGW...zitawaponza....
Mi sio.msabato wewe tatizo.la wakatoliki.na ugomvi wenu na wasabato.mnadhani kila.mtu msabato...Poor You. Ni kama waislamu wanavyohubiri mfumo kristo kuwa serikali imeingia mkataba na wakristo ilihali ni mikataba ya wakatoliki. Wanachanganya wote. Wake up!
Plus Mungu hana Dini. So toa porojo zako hapa za ukatoliki na usabato. Mleta mada alileta mada kutoka kwenye bible hakutoa kwenye kitabu cha sabato au catholic so bora ubishane na hiko kitabu
 
Plus Mungu hana Dini. So toa porojo zako hapa za ukatoliki na usabato. Mleta mada alileta mada kutoka kwenye bible hakutoa kwenye kitabu cha sabato au catholic so bora ubishane na hiko kitabu
Biblia yenyewe hiyo ni ya hao Wakatoliki...(Yani ni kitabu chao)
 
Kwahiyo walioandikwa mule ndani ya bible wote ni wakatoliki? Ooh ndio maana mnadanganywa kuwa petro ndio alikuwa Pope wa kwanza
Nani kasema anadanganywa..? Yani ukweli tudanganywe.. ?

Nashukuru maana n wewe umejua kuwa Papa wa Kwanza ni Petro..Yes! Ni Petro......Wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu jitalijenga kanisa langu...wala milango ya kuzimu haitalishinda.....
Ndio! Petro..Baba Mtakatifu wa Kwanza...
 
Kwahiyo walioandikwa mule ndani ya bible wote ni wakatoliki?
Historia ya ukusanyaji wa Biblia naona imekupita kando kidogo..

Biblia imekuwa compiled na Kanisa Katoliki na kukamilika mwaka 300AD....ikiwa na jumla ya Vitsbu 72/73 chini ya mtaguso wa Efeso..upo hapo...niendeleee!!!
Ooh ndio maana mnadanganywa kuwa petro ndio alikuwa Pope wa kwanza
Hapa nimeshakupa jibu..nisome hapo chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom