Ni wazi litakuwa ni jambo la aibu/fedheha kulisema.Angeendaje kulima baada ya kusema ukweli? Watu wangemsusia kazi zake za muziki au? Kwamba huo ukweli unatia kinyaa kuusikia? Kwamba haufai kusikilizika? Mh!!!! Mwee!!!
Mwenye akili nyingi ngoja nikuulize Dk. Ulimboka yupo wapi sasa? Je wale daktari aliokuwa anawatetea wapo pamoja nae? Wanamsaidia kusomesha watoto wake? Je watoto wa Kamanda Mawazo R.I.P wanapata huduma zote kama vile ambavyo walikuwa wanapata wakati baba yao yupo hai? Je watoto wa mwandishi mwana harakati Daudi Mwangosi wanapata huduma kama enzi za baba yao? Ndio maana nikasema wewe ni mtoto. Kuna wakati mwingine hata watu mashujaa na jasiri kama Marehemu Fidel Castro walizidiwa nguvu ktk vita ya ubabe na silaha wakakimbia mapambano wakaenda kujipanga upya na mbinu mpya. Hata shujaa mpambanaji mwanamapinduzi ambae alikuwa han mipaka ya uzalendo alijiondoa vitani pale Congo DRC na kuondoka zake kwa vile aliona dhahiri hawawezi kushinda vita kwa mazingira husika. Kwa jinsi ulivyokimbilia matusi nikajua wewe ni akili ndogo na umri mdogo au na kama umri mkubwa basi shule yako ndogo sana. Kwa maana mwenye umri wa flani unaofikia walau miaka 30 na shule ipo kichwani hawezi kuporomosha mitusi na kuongea pumba namna ulivyoongea. Kwako wewe mtu kama haongei ukipendacho hata kama ni baba yako unawaita wasenge.Akili za wesenge watakaotawaliwa na mabashite milele.
Tena ujinga wa kijinga kweli kweli!ujinga tu
Yawezekana!Alipumuliwa huyo Mpumbavu
Yawezekana mkuu!itakuwa wamemgeuza uyu
Yu wap yule Roma conscious?huyu sio Roma niliyekua namjua Kuna kitu hakiko sawa!
Hata hivyo hapa bado kamuumbua kiani.Hawa jamaa ni hatari kuliko ukoma.Haya alitakiwa ayaseme siku ile , alitakiwa kwanza amtimue Mwakyembe pale mbele .
Kila siku tunasema uoga ni adui mbaya sana. Huo mziki anaofanya hautoi nafasi kwa mtu aliye muoga, unahubiri ujasiri na jinsi ya kuondokana na mawazo mgando. Ni vyema akaachana na Hip Hop na kutafuta segment nyengine.Mkuu ni rahisi kuongea hivyo huku umetulia kwa amani na simu yako au computer yako ukiwa umeshiba unashushia kinywaji hutafutwi wala kufuatiliwa na mtu mwenye nguvu ya kutoa roho yako. Ni rahisi kufanya hivyo kama huna watoto au ndugu ambao kula, shule, matibabu na maisha yao kiujumla yanategemea uwepo wako ukiwa salama bila ulemavu. Angefurahisha shabiki na homies wake wa Tanga kisha akauliwa au akapata ulemavu yeye na familia yake ingewasaidia nini?
Alipumuliwa huyo Mpumbavu
DUuh!Alipumuliwa huyo Mpumbavu
Mzee, kijana hataki unafiki kama wengine. Tunawaona na kuwasikia watu wazima wakijitoa ufahamu. Lakini huwezi kumsikia akifanya unafiki kama wengineFebruary Marope anatokea mkoa upi?
hana tofauti na yule mandela wa robin island na yule mandela wa after robin islandYu wap yule Roma conscious?huyu sio Roma niliyekua namjua Kuna kitu hakiko sawa!