St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,637
- 4,521
Aiseee! kumbe tuna wainjilisti humu ee, unaweza ukajikuta unaomba kuongozwa sala ya toba hivi hivi!!!
Mzima mama?Wakati mwingine inatupasa kukumbushana pale tunapoona kuwa mmoja wa wanadamu anatoka kwenye mstari na kuhoji uwezo wa wa mwenyezi mungu muumba wetu.