Roho ya paka

Nilisema kwenye uzi wangu wakati wa msiba wa ivan sasa mnaona yaan buree kabisa mfiwa unapata wap mda wa kujipodoa kila mda uko insta?? Bureee
 
Kwa hiyo mnataka alie mpaka augue vidonda vya tumbo pamoja na maradhi mengine.
Kwani akilia sana mama yake atafufuka?
Acheni unafiki yaani mnataka kumpangia mtu kulia kiasi fulani ili awaridhishe. Shenzii.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Si ajabu madaktari walimwambia kwamba mama yake anafariki kwa hiyo akawa amelia sana kabla hajafariki, pia inawezekana analia pembeni na hapendi picha zake za kulia kufuatia msiba wa mama yake zibandikwe kila kona.

Mkuu japokuwa ni mtanganyila lkn watanganyika wenzangu wamezidi ukuda mpaka inakera,

sijaona shida yeyote kwa huyo dada,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ajabu madaktari walimwambia kwamba mama yake anafariki kwa hiyo akawa amelia sana kabla hajafariki, pia inawezekana analia pembeni na hapendi picha zake za kulia kufuatia msiba wa mama yake zibandikwe kila kona.
Huenda, lkn watu tuko tofauti,

Mfano MTU akiniudhi au nikichukizwa na jambo huwezi nijua mpaka nikwambie,

Nimewahi kufiwa na baba na kaka, maumivu yake ni makali mno, huwa nauguliaa ndani kwa ndani, hata Dr aliwahi kunishauri juu ya hili, wapo walionisema km hawa wanomsema huyu Dada Leo, lkn ndo maumbile yqngu,

Watu tuko tofauti, mwingine hata awe na maumivu kiasi gani huwezi kumwelewa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…