Yaani hili linanishangaza sanaKwa hiyo mnataka alie mpaka augue vidonda vya tumbo pamoja na maradhi mengine.
Kwani akilia sana mama yake atafufuka?
Acheni unafiki yaani mnataka kumpangia mtu kulia kiasi fulani ili awaridhishe. Shenzii.
Watu wanashindwa kuelewa tumeumbwa tofauti.Yaani hili linanishangaza sana
Wqbongo wqmekuwaje? Ni stress za maisha au
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha mkuu umenifanya nicheke jioni yote hiiAliyefoji cheti
Hahaaa aisee hii kali.Aliyefoji cheti
Mkuu japokuwa ni mtanganyila lkn watanganyika wenzangu wamezidi ukuda mpaka inakera,Watu wanashindwa kuelewa tumeumbwa tofauti.
Kuna binadamu hata awe na huzuni kiasi gani hauwezi kumgundua wala tone la chozi halitatoka hata moja hata ajilazimishe kiasi gani.
Roho ya paka inapimwa katika msiba....?
Wanajuana wenyewe na maDNA yaoAu sio mama yake mzazi nini?????