Unamfahamu huyo Sigmund Freud mkuu? Yawezekana kabisa kibamia (real or perceived) kinaweza kuhusika hapa japo unconsciously. Jibu swali langu nikupe nondo za mlango wa Psychoanalysis.
Hamjambo?
Karibu katika mada hii
Mimi nimekua na mtizamo hasi kiasi ya kutetemeka au uso kuona aibu wakati wa kuzungumza na watu wengine.
Hata mtu nisiemjua naogopa kumwalia usoni
Sio hivyo tu wakati hilo likiendelea naishiwa pumzi na kutetemeka
Nasikitika kwa hali hii.
Naombeni ushauri.
NB
Moderator tafadhali msiupeleke huu uzi Jf doctor maana wengi hawatauona.
Asante.
unaona aibu ukiwa na wanaume au wanawake?..
kama umeoa basi utakuwa umepanga nyumba, au sio..?
Fanya mpango uhame hapo unapoishi...
na pia upuka kufanya vitu kisirisiri, uwe wazi, mkweli kwa mkeo na marafiki... ukweli huleta uhuru.
Fanya mazoezi, kuuchangamsha mwili hasa asubuhi kabla ya kazi nyingine, hii huongeza kujiamini kuwa uko sawa.
Hamjambo?
Karibu katika mada hii
Mimi nimekua na mtizamo hasi kiasi ya kutetemeka au uso kuona aibu wakati wa kuzungumza na watu wengine.
Hata mtu nisiemjua naogopa kumwalia usoni
Sio hivyo tu wakati hilo likiendelea naishiwa pumzi na kutetemeka
Nasikitika kwa hali hii.
Naombeni ushauri.
NB
Moderator tafadhali msiupeleke huu uzi Jf doctor maana wengi hawatauona.
Asante.
Nilishawai kuvuta bangi nikakoma
Nilicheka mpaka mbavu zikauma!
Nifqnyeje sasa mkuu[/QU
hospitali huzijui?
boss umenichekesha sana nami mbavu hoi hapa
Nina imani kuwa utakuw auna ugonjwa wa kisaikolojia ambao kwa kiingereza unaitwa Anxiety... Ugonjwa huo pia huambatana na ugonjwa mwingie wa kisaikolojia wa Depression. Jaribu ku google haya magonjwa mawili kwa ufahamu zaidi.
Pole kwa hali uliyo nayo.
Khaa!! Ouwkay. nilikuwa nauliza tu:glasses-nerdy:Naitwa Milion 45
Nyota yako inaonyesha utakua tajiri sana. Maana nyota yako ya sayari monerismus iko sambamba na sayari ya pluto yaani bahati.
Inaelekea una aibu sana hasa wakati wa kumaliza tendo la ndoa. Hasa na wanawake waliokuzidi umri ambao ndio wewe unakua nao zaidi.
Fanya yafuatayo. Epuka wanawake wazee hasa wale wanaokunywa pombe. Mtongoze mtoto wa baba mwenye nyumba yako kwani huyo ndio atakayekufanya uwe tajiri mkubwa.
Mwisho kabisa unitumie vocha ya sh elfu kumi na tatu niweke nyota yako vizuri. Wiki hii usile nyama yoyote halafu usimwangalie mama mwenye nyumba kwa matamanio kwani atakua mkwe wako si muda mrefu.
Wewe Utakuwa Mwalimu, Sigmund Freud Kama Hujasoma Educational Psychology Huwezi Kumfahamu.