Roho ya hofu imenijaa

Roho ya hofu imenijaa

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,461
Reaction score
2,320
Hamjambo?
Karibu katika mada hii
Mimi nimekua na mtizamo hasi kiasi ya kutetemeka au uso kuona aibu wakati wa kuzungumza na watu wengine.

Hata mtu nisiemjua naogopa kumwalia usoni

Sio hivyo tu wakati hilo likiendelea naishiwa pumzi na kutetemeka

Nasikitika kwa hali hii.

Naombeni ushauri.

NB
Moderator tafadhali msiupeleke huu uzi Jf doctor maana wengi hawatauona.
Asante.
 
Tumeubwa tofauti tofauti mimi mwenyewe huwa niko hivyo tena hata kuongea kunamda nashindwa, sababu siijui
 
Pile sana kama wewe ni mjuzi wa mambo ya mtandao ingia ktk Google andika neno mindfulness au jina Dr Jon Kabbat Zinn kisha bofya fuatilia yote yaliyoandikwa humo utashangaa tatizo lako siyo kubwa kama unavyofikiri hiyo hali itakutoka ukifuatilia nilichokwambia
 
Tumeubwa tofauti tofauti mimi mwenyewe huwa niko hivyo tena hata kuongea kunamda nashindwa, sababu siijui
Nasikitika kwa kweli na watu wengi wanapenda kuja kwangu kusalimia sasa kuongea ndio ninawaangusha hawa jamaa
 
Duuh! wee jamaa 24/7 unaanzisha mada za matatizo na ushauri, yaelewekea wewe una matatizo mengi sana sana.
 
Pile sana kama wewe ni mjuzi wa mambo ya mtandao ingia ktk Google andika neno mindfulness au jina Dr Jon Kabbat Zinn kisha bofya fuatilia yote yaliyoandikwa humo utashangaa tatizo lako siyo kubwa kama unavyofikiri hiyo hali itakutoka ukifuatilia nilichokwambia
Po Mkuu asante
 
Hiyo Ishu cyo ya kitoto, mambo ya bangi hayahusiki, itakua mapepo tena pepo la mauti kama hutotafuta tiba utashangaa unaanza kujitenga na watu kabisa. Tafuta kanisa la kiroho ufanyiwe maombi.
 
Hivi ntapata wapi mwanasaikolojia wa mambo ya kukosa confidence Arusha
 
Hiyo Ishu cyo ya kitoto, mambo ya bangi hayahusiki, itakua mapepo tena pepo la mauti kama hutotafuta tiba utashangaa unaanza kujitenga na watu kabisa. Tafuta kanisa la kiroho ufanyiwe maombi.

Yaani watu wakija kuongea na mimi nahisi siko salama nahisi aibu usoni nikishika kitu wakati huo siwezi na sauti inabadilika
 
Issue kubwa ni church tu Hanna jinsi roho ya mauti ikikuvaa hizo ndyo ishara zake, pole sana hapo kujiamini hakupo tena .
 
Nyota yako inaonyesha utakua tajiri sana. Maana nyota yako ya sayari monerismus iko sambamba na sayari ya pluto yaani bahati.
Inaelekea una aibu sana hasa wakati wa kumaliza tendo la ndoa. Hasa na wanawake waliokuzidi umri ambao ndio wewe unakua nao zaidi.
Fanya yafuatayo. Epuka wanawake wazee hasa wale wanaokunywa pombe. Mtongoze mtoto wa baba mwenye nyumba yako kwani huyo ndio atakayekufanya uwe tajiri mkubwa.
Mwisho kabisa unitumie vocha ya sh elfu kumi na tatu niweke nyota yako vizuri. Wiki hii usile nyama yoyote halafu usimwangalie mama mwenye nyumba kwa matamanio kwani atakua mkwe wako si muda mrefu.
 
Una muhogo wa jang'ombe au kibamia? Tuanzie hapo kwanza. Sigmund Freud shikamooooo!!!
 
Aisee upo ktk mahusiano au haujawahi kabisa? Tafuta wataalamu wa saikolojia alafu ongeza spidi ya kujishughulisha ma shughuli za kijamii, ibada iwe safi. Kama una msishana(dem) wakati unapiga show usizime taa au kama ni mchana basi tumia kama dakika tano hivi ukiiangalia papuchi
 
Hamjambo?
Karibu katika mada hii
Mimi nimekua na mtizamo hasi kiasi ya kutetemeka au uso kuona aibu wakati wa kuzungumza na watu wengine.

Hata mtu nisiemjua naogopa kumwalia usoni

Sio hivyo tu wakati hilo likiendelea naishiwa pumzi na kutetemeka

Nasikitika kwa hali hii.

Naombeni ushauri.

NB
Moderator tafadhali msiupeleke huu uzi Jf doctor maana wengi hawatauona.
Asante.

Dah aisee sasa ikitomea umetakiwa ufanye presentation mbele ya watu wengi si utazimia ? Hata hivyo tafiti zinaonyesha kwamba ukiondoa kifo kitu kingine ambacho wanadamu wengi wanakiogopa ni kuongea mbele ya kundi la watu. Kama nature ya kazi yako inahitaji frequent presentations unatakiwa ufanye mazoezi, so ingia google na utafute literatutes za public speaking.
 
Hiyo Ishu cyo ya kitoto, mambo ya bangi hayahusiki, itakua mapepo tena pepo la mauti kama hutotafuta tiba utashangaa unaanza kujitenga na watu kabisa. Tafuta kanisa la kiroho ufanyiwe maombi.

Mungu wetu ni mwema sana ametuumba akatujalia akili na hekima ili tuweze kutatua baadhi ya matatizo yatupatayo wanadamu. Lkn kwa kukosa kwetu maarifa tunakimbilia kujitia hofu ya mapepo na kutaka miujiza. ...
Mleta uzi ushapata ushauri nasaha kuna ma doctor wa akili Mungu amewapa elimu ili wanadam tusaidiane. Pale akili ya binadamu inaposhindwa ndo moja kwa moja tunasubiri Mungu aingilie kati, kabla ya hapo tunamuomba Mungu huku tunatumia misaada ya kibinadamu.
Pole sana mara nyingi hilo tatizo ni la kimakuzi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom