WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 946
Roho Ni moyo? Evidence pleaseRoho ni moyo
Mungu ametupa akili na utashi, tupate kufikiri.Mambo mengine mwachie Mungu mwenyewe.
Lakini amekupa ukomoMungu ametupa akili na utashi, tupate kufikiri.
Maswali ya nini sasa ikiwa wewe mwenyewe umepewa akili & utashi.Mungu ametupa akili na utashi, tupate kufikiri.
Kwani MUNGU katupa uwezo wa akili sawa?Maswali ya nini sasa ikiwa wewe mwenyewe umepewa akili & utashi.
PoaKuna kitabu Cha Freemasonry nilisoma, ngoja nikachungulie afu nitakuja ku-quote hapa..nipeni dakika chache
SIMPLe,roho ni uhai,uhai wa roho haushikiki,hauonekani, haufi ni wa milele.uhai wa mwili unaonekana ni wa damu na oxygen ,hufa ni wa muda.muhimu malaika wote wana uhai wa roho hawana wa mwili,wanyama,ndege najamii ya saamaki wana uhai wa mwili hawana uhai wa roho.in mwanadamu peke yake mwenye uhai was mwili na uhai wa roho,eemwanadamu jua kuna moto wa milele na kuna mbingu ya milele..nakusihi tenda mema ungali na uhai was muda wa uhaimwili.Maswali magumu hayo! Wanatheolojia na wabobez wa philosophy watujuze.
Maswali magumu hayo! Wanatheolojia na wabobez wa philosophy watujuze.
Huwezi kuiona roho yako kwa macho kwa kuwa si mwili. Nikuulize kidogo ili uweze kunielewa: Je, umewahi kuuona upepo kwa macho? Hata kama hujawahi kuuona lakini sauti yake, matokeo au madhara yake, unayasikia na kuyaona kwa hakika.
Kwahiyo, uwepo wa kitu fulani si lazima ukione kwa macho. Hata sauti hujawahi kuziona lakini unazisikia kwa hakika!
Roho yako ndiyo wewe mwenyewe. Mwili ni koti tu lililoivaa roho, ikitoka unakuwa umekufa. Pia una nafsi (soul) ambayo hujumuisha akili (mind), hisia (emotions) na maamuzi (decisions). Nafsi hubeba utashi (conscience) ambao wanao watu tu, si wanyama.
Unafanya jambo lolote kwa utashi wako, kwa maamuzi yako na mtazamo au mapenzi yako. Tunu hiyo haipo kwa wanyama. Hata mnyama anapokunya hafikirii chochote - kunya kunamtokea tu popote!
Je, umewahi kutokewa ambapo unabishana na wewe mwenyewe? Akili yako inaamua kwenda mahali fulani, lakini ndani yako unasikia sauti ya chini inakukataza usiende! Ukiamua kwenda bila kuitii hiyo sauti ndani yako halafu ukapata shida huko uendako, utaanza kusema roho yangu ilinikataza! Roho yangu ilisita! Roho iligoma kwenda!
Kwahiyo, kila mtu ana sehemu tatu: Roho (spirit), Nafsi (soul) na Mwili wa damu, nyama, mifupa, nk (flesh). Kama hujanielewa nitafute ili nikupe ufafanuzi zaidi kadri Mungu atakavyonijaalia. Pia waweze kusoma 1 Thesalonike 5:23
Ili kutambua uwepo wa vitu Kama vipo ni aidha viwe vimepita katika sensual organs ( touch, hear, see, sens and smell). Mfano wa upepo hata Kama usipouona utasikia kwa masikio. Kuna vitu unavisikia ila huvioni, Kuna vitu unaviona ila hunisikii na vice versa yake.... Mfano wa upepo na roho ni tofauti huwezi isikia roho Wala iona Wala ishika Wala kuihisi....
ila upepo unausikia kwa upepo tu, na huwezi ku-uona...
Roho unasikia watu wanaizungumza, ukiwauliza wamewahi kuona hamna jibu wanaleta imani za kidini.