Roho mbaya tulizonazo wanaume

Roho mbaya tulizonazo wanaume

Naona kama sijaelewa, labda ni kutokana na shule yangu kua ndogo ila sijaelewa kabisa mtoa mada anasemaje.

Kwa hiyo hutaki watu tutongoze kwenye mabasi au nini.

Uroho wetu ni upi hasa,kutongoza msafiri mwenzako? Sasa tutongoze wapi kama kutongoza msafiri mwenzako ni uroho na roho mbaya.

Kwa kweli sijaelewa.
 
me niko tofauti kidogo..huwa tunapiga story mwisho wa safari manzi ndo ananiomba namba mwenyewe
 
Inaashilia kwamba wote mlokutana siti moja na kutomgozana mpka kukubali kuduuu bila hata kujali afya au kufahamiana poa wote hamjielewi na hamjui thamani ya afya zenu na kwa nini mpo hai duniani ilihali wengine hawapo.
 
mkuu kwahiyo we unataka tutongozane wapi?.....mahusiano yanaanzia sehemu yoyote hata kanisa inawezekana, mie kama amenivutia narusha doano.
 
Naona kama sijaelewa, labda ni kutokana na shule yangu kua ndogo ila sijaelewa kabisa mtoa mada anasemaje.

Kwa hiyo hutaki watu tutongoze kwenye mabasi au nini.

Uroho wetu ni upi hasa,kutongoza msafiri mwenzako? Sasa tutongoze wapi kama kutongoza msafiri mwenzako ni uroho na roho mbaya.

Kwa kweli sijaelewa.
Hata mimi sielewi....au mkuu anataka tusitongoze kwenye mabasi?
 
mkuu mimi nina roho nzuri kabisa isiyo kuwa na tatizo,ila ungesa baadhi ya wanaume.
 
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.

Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.

Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?

Sasa Roho Mbaya iko wapi hapo??? Kutongoza ni roho mbaya sikuhizi??
 
kwani tunatakiwa kutongozewa wapi hasa ili msionekane na roho mbaya?
 
kwani tunatakiwa kutongozewa wapi hasa ili msionekane na roho mbaya?
Kisimani (kijijini), kwenye super market na shopping molls (mijini)...hapa burger zinahusika, club kwa wapenda maunoe, baa kwa sie wapenda maji ya uzima mwisho kabisa karibu na vibanda vya hela za mitandao na ATM... Kwingine ni ROHO MBAYA zinazaliwa.
 
ha haa ha ha haha
 
Kiongoz ujue mwanza ni mbaL ooh@ss we piga kimya ka hujaonekana ndoroboooo
 
jisemee wewe mwenyewe,,, kumtongoza mwanamke ni afya kiongozi,,, kukubaliwa au kukataliwa hayo ni mengine......
 
Back
Top Bottom