Roho mbaya tulizonazo wanaume

Roho mbaya tulizonazo wanaume

Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.

Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.

Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?

Kwani huyo anayekubali ombi la kuanzisha mahusiano anakuwa ananijuwa mimi tabia zangu na afya yangu..?? Hii kitu ni BIDIRECTIONAL...
 
Back
Top Bottom