The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
Roho Mbaya iko wap apo??
Wanaume tupo wachache sana, hii ndo opportunity kwa wadada...

Kisimani (kijijini), kwenye super market na shopping molls (mijini)...hapa burger zinahusika, club kwa wapenda maunoe, baa kwa sie wapenda maji ya uzima mwisho kabisa karibu na vibanda vya hela za mitandao na ATM... Kwingine ni ROHO MBAYA zinazaliwa.
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.
Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.
Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?
mbona hakuna noma mazee.
kwani tunatakiwa kutongozewa wapi hasa ili msionekane na roho mbaya?
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.
Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.
Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.
Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.
Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?
na kweli aiseeAchana na kishoia mae...
Tena kabla hata kabla Costa halijafika ubungo kishaeleweka.Unaongelea MZA - DAR wenzako wanapiga sound Kimara - Posta na wanakula mzigo?
Mahusiano yanaanzia popote.