Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya

Wapare hawana hiyo tabia.

Hakuna jamii inayopenda Haki kwenye Taifa hili kama Wapare, ndio maana unaambiwa wanapenda Kesi.

Na hakuna mtu anayependa Haki akawa na Roho Mbaya.

Ingawaje exceptionals wapo.
 
Kwa hiyo Tanzania yote wenye roho mbaya ni wapare tu? Maana tunakutana na watu sio wa hilo kabila na ni wabinafsi, wachoyo nk.

Hilo la ubahili wala sio issue, bila kuwa bahili kwa dunia ya kibepari lazima ufe masikini.
 
Wapare hawana hiyo tabia.

Hakuna jamii inayopenda Haki kwenye Taifa hili kama Wapare, ndio maana unaambiwa wanapenda Kesi.

Na hakuna mtu anayependa Haki akawa na Roho Mbaya.

Ingawaje exceptionals wapo.
Kuna watu wanapenda kuishi kiujanjaujanja na kudhulumu wenzao. Sasa ukifanya haya kwa mpare ndo unakuja mbio ooh wana roho mbaya, wapenda kesi nk.
Mpare hawezi kukukuta barabarani akakufungulua kesi hadi uanze wewe.
 
Wapare hawana hiyo tabia.

Hakuna jamii inayopenda Haki kwenye Taifa hili kama Wapare, ndio maana unaambiwa wanapenda Kesi.

Na hakuna mtu anayependa Haki akawa na Roho Mbaya.

Ingawaje exceptionals wapo.
Rais aliwauliza wananchi wa upareni wamefanya jambo gani la maendeleo wakati serikali ikiendelea kufanya mambo mengine kuwaunga mkono? Wakajibu "tumejenga mahakama"
 
Back
Top Bottom