Nimekuwa nikiwatafuta members wa JF walioko jijini Mwanza bila mafanikio, hivi kweli mpo au? Nijuze wapi mwakutana w/end hii? Japo kesho nina kikao cha harusi pande za Nyegezi lakini nawezakuahirisha ili niweze kufahamina nanyi. Ebu jitokezeni na kama vipi ni-PM ili nipate namba zenu.
Nawashukuruni wote mtakaojitokeza kuitikia wito huu.
hawapo, na kama wapo basi ni MBULULA.
hawapo, na kama wapo basi ni MBULULA.
hawapo, na kama wapo basi ni MBULULA.
charminglady umesahau kunicopy mimi member wa heshimaKwanza tunaomba ututake Radhi kwa kututusi, Inaonekana upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Utawaitaje watu ambao huwafahamu MBULULA??
Kwa taarifa yako tulikwisha kutana na tukaanzisha umoja wetu, Na taarifa za vikao vyote tuliziweka hapa jukwaani.
Sina mengi ya kusema ila watakuja na wenzangu watasema. Ngoja nilale mie!
Aione mlezi wetu Arushaone, Mwenyekiti Rock City, wajumbe Elizabeth Dominic, ram, Gedeli, Home First, Think pad na beibe nasty ThinkPad
Unawatafuta watu kwaajili ya kitu gani?Wanini?Ili iweje?Inaoneka una ubongo wa bata,unahangaika kuwatafuta watu wasiokua na shida na wewe!
Very true kwa ulichonena mkuu, ahsante mkuu Kaizer kwa ushuhuda huo.mkuu Eiyer hata mi nashangaa, mimi ni mgeni but nimeenda rock city nikala bata saana na wana JF RC wing, nashangaa huyu kuwakosa, there must be a problem somewhere, haiwezekani! ila kama maneno yenyewe ndo haya ya mbulula asitegemee kumwona mtu
Ahsante sana kwa majibu mazuri, hebu pokea 'like' yangu charmingladyKwanza tunaomba ututake Radhi kwa kututusi, Inaonekana upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Utawaitaje watu ambao huwafahamu MBULULA??
Kwa taarifa yako tulikwisha kutana na tukaanzisha umoja wetu, Na taarifa za vikao vyote tuliziweka hapa jukwaani.
Sina mengi ya kusema ila watakuja na wenzangu watasema. Ngoja nilale mie!
Aione mlezi wetu Arushaone, Mwenyekiti Rock City, wajumbe Elizabeth Dominic, ram, Gedeli, Home First, Think pad na beibe nasty ThinkPad
Kwanza tunaomba ututake Radhi kwa kututusi, Inaonekana upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Utawaitaje watu ambao huwafahamu MBULULA??