Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 669
- 1,479
Mara baada ya kusubiria kwa muda sana hatimaye asubuhi ya kesho 16 november Rocket ya mwezini itarushwa kwa ajili ya majaribio ya kwanza kabisa ambapo nikatika kuweka kila kitu sawa kwenye mission zijazo za safari za kepeleka watu mwezini na Mars kwa ujumla
Kuna sababu mbalimbali ambazo zilizope lekea urushwaji wa rocket hii kushindwa kufanikiwa ikiwemo uvujaji wa gesi na uwepo wa kimbunga katika maeneo ya mwambao wa bahari huko Florida ila hadi sasa kila kitu kinakwenda sawa kama kilovyopangwa na hali ya hewa 90% iko sawa kwa kuruhusu safari
Rocket itarushwa kesho 9:04 am asubuhi kwa muda wa masaa ya afrika mashariki huku tukio hilo litashuhudiwa na watu wengi sana duniani
Unaweza ukatizama matukio yote hao kupitia link hii hapa
Mzawa
geraldchristopher1@gmail.com