Gogovivu45
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 229
- 133
Nimekuwa mtu wa kuja Dar es salaam na kuondoka mara kwa mara bila kufanikiwa kufika ndani ya majengo mawili yaliyondani ya jiji hili la dar es salaam( MLIMANI CITY & CITY MALL). Nashukuru awamu hii nimefanikwa kufika na kutembea ndani ya majengo hayo. kiukweli ni majengo ya kawaida sana katika designing pamoja na kuwa na majina makubwa sana ukilinganisha na ROCK CITY MALL ndani ya mji wa miamba mwanza. Akili iliyotumika pale ni kubwa sana.