Rock City ( Mwanza) vs Mlimani City & City mall ( Dar es Salaam)

Gogovivu45

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
229
133
Nimekuwa mtu wa kuja Dar es salaam na kuondoka mara kwa mara bila kufanikiwa kufika ndani ya majengo mawili yaliyondani ya jiji hili la dar es salaam( MLIMANI CITY & CITY MALL). Nashukuru awamu hii nimefanikwa kufika na kutembea ndani ya majengo hayo. kiukweli ni majengo ya kawaida sana katika designing pamoja na kuwa na majina makubwa sana ukilinganisha na ROCK CITY MALL ndani ya mji wa miamba mwanza. Akili iliyotumika pale ni kubwa sana.
Dld2pKIWsAAe_TH.jpg
Image00009-2-660x400.jpg
maxresdefault.jpg
mwanza-29265619.jpg
pic+jobless.jpg
Rock City By Night 2018.1.JPG
 
Rockcity mall ipo vizuri ila bado haijajaa wafanyabiashara. Mimi nimefika kote hata huko mlimani city huwa sioni cha ajabu, ni mjengo wa chini ambao umesambaa sana kumbe kimsingi uwezo wake ki ujazo unaweza kuta sawa tu na rock city mall. Nawapa hongera rock city mall, design ni nzuri, ila watengeneze zile ngazi zinazotembea maana siku niliyopita pale nilikuta zote hazifanyi kazi
 
Hakika mwanza ni jiji kubwa maana kila siku watu wa dar ni kujilinganisha na mwanza tu

Sijawahi sikia watu wa dar wakijilinganisha na hutu tumikoa kama kagera, kigoma na kimukoa cha arusha

Lakin ndo iko hivyo lazima ujilinganishe na unayeendana naye
 
$25 per square metre inawashinda wafanyabiashara pale Rockycity inabidi pasijae tu.
 
Hakika mwanza ni jiji kubwa maana kila siku watu wa dar ni kujilinganisha na mwanza tu

Sijawahi sikia watu wa dar wakijilinganisha na hutu tumikoa kama kagera, kigoma na kimukoa cha arusha

Lakin ndo iko hivyo lazima ujilinganishe na unayeendana naye

IMG_0451.JPG

Ongea kwa facts🤨🤨
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom