Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,409
- 8,811
Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya mabao kwani mpira una maajabu hivyo yeye hajakata tamaa ya kutwaa ubingwa.