FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Carasco Putin

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
8,675
25,850
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting

Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea

Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuburuza mkia
Mechi itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa azam complex

BAHLABANE BA NTWA
Fv78DowWIAAxIsF.jpg

Fv8QlgLWYAAO3YO.jpg

LIGI KUU: MAGOLI YA SAKHO, CHAMA YAISHUSHA DARAJA RUVU SHOOTING

Magoli yaliyofungwa na Clatous Chama (30) na Pape Sakho (72, 90) yameifanya Simba kushinda 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, hivyo kufikisha pointi 67 ikiendelea kubaki nafasi ya pili wakati Ruvu ikishika mkia katika nafasi ya 16 kwa kuwa na pointi 20

Matokeo hayo ya Ligi Kuu Bara yanaifanya Ruvu kushuka daraja kwa kuwa hata ikishinda michezo miwili iliyosalia haitaweza kutoka katika nafasi mbili za mwisho.

Kocha wa Ruvu, Mbwana Makata amesema kilichoiangusha timu yake hadi kushuka daraja ni kutosajili wachezaji wenye uwezo wa juu.
Fv8SSizWABMtURp.jpg
 
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji simba vs ruvu Shooting

Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea

Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuburuza mkia
Mechi itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa azam complex

View attachment 2618978

BAHLABANE BA NTWA
Kwani haya ni mashindano gani tena?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom