Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

Umepanic ila ukweli ndio huo hata utukane nyuz zako huwa ni kuponda wanawake tu
Kuna zingine nzuri ila jitahidi kuwa fair acha chuki na wanawake hatupendi

"Usimsahihishe mpumbavu. Kwa kufanya hivyo atakuchukia. Msahihishe mtu mwenye busara, daima atakushukuru." ~ Suleiman bin Daudi
 
Robert na nyuzi zake za kugandamiza wanawake hatutaki.
Kwahiyo mwanamke akifungua nyuzi kuhusu wanaume wabaya na kuwaonya wanawake wenzake tunaita kumkomboa mwanamke, ila mwanaume akiandika nyuzi kwa wanaume wenzake kuwaonya juu ya wanawake wabaya basi ni uzi wa kugandamiza wanawake na chuki dhidi ya wanawake au sio?!

Hebu tueleweshe.
FB_IMG_1661675200358.jpg
 
Mshana yuko juu. Robert hapana kwa kweli. Kwanza ameathirika na mfumo dume, halafu anaamini mawazo yake yako sahihi kuliko mtu yeyote kitu ambacho sio cha kweli hata kidogo. Huyu sio wa kutambulia kwa namna mtoa mada anavyofikiri....Hapana
Tufafanulie hapo kwenye mfumo dume, shida ni nini?!
 
Japo siafiki mambo ya kishirikina lakini mshana is right person , ila kwa hyo robert sijui hamna kitu kabisa , ana tabia ya ku vamia vamia vitu bila ya kujua kwa usahihi, tena huyu ni taikuni wa ushuzi
Ushuzi upi sasa mzito au ule wa kawaida?
 
Ushuzi upi sasa mzito au ule wa kawaida?
Hapo kabla nilijua mtu makini ktk uchambuzi wa masuala mbalimbali sasa ile kuingia habari zingine ( dini) alafu anachongea ni kama mlevi toka siku hyo nikajua hamna kitu kabisa , badala ya kuwa taikuni wa fasihi kumbe ni taikuni wa ushuzi
 
Kwahiyo mwanamke akifungua nyuzi kuhusu wanaume wabaya na kuwaonya wanawake wenzake tunaita kumkomboa mwanamke, ila mwanaume akiandika nyuzi kwa wanaume wenzake kuwaonya juu ya wanawake wabaya basi ni uzi wa kugandamiza wanawake na chuki dhidi ya wanawake au sio?!

Hebu tueleweshe. View attachment 2567003

Wanawake wenye Akili hawawezi kuwaza hivyo.
NI Wanawake wapumbavu tuu
 
Kwakweli boby yupo kama tapeli na tangu aanze kupata foleni kwenye nyuzi zake ni kama anajiona ana akili kuliko wengineo wote humu ndani, kuna mkaka flani alikuwa anajita lastborn wa jf, nae alipoanza kusifiwa akajaa bichwa ila wadau walivyomtupilia mbali akapotea,

Mshana huwezi kumfananisha na huyo tapeli

Mshana is very constructive!
 
Back
Top Bottom