Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

Robert Heriel na Mshana Junior wapewe tuzo za heshima

But Robert ni free thinker
Mshana ni mzuri wa kuchambua vilivoanikwa

But wote ni wazuri ila for me Robert anamsimamo hajali km watamtukana au laa
Naunga mkono,,na-appreciate sana nyuzi za bro Robert maana huwa anasema ukweli bila kujali kundi analolisema kama atakuwepo mtu wake yeyote wa karibu.
 
Habar za muda huu Mabibi na Mabwana

Kabla sijaanza kuandika kiini cha thread hii naomba ifahamike kuwa mimi Monde Arabe siyo Chawa wa mtu yeyote wala sitegemei kuuza utu wangu kwa kuwa Chawa wa mtu yeyote (natosheka na afadhali sihitaji zaidi) Pia,sijawahi kuwasiliana na wahusika niliowataja kwenye title ya thread hii
Dah mkuu monde arabe (noma sana) asante sana kwa compliment na napokea kwa unyenyekevu mkubwa.. Barikiwa sana[emoji1545][emoji1752][emoji1548]
 
Mkuu nashukuru Sana Kwa kuuona mchango wangu katika jamii.

Mungu aendelee kukubariki Sana Kwa ku-appreaciate ningali nikiwa Hai.

Pia nawashukuru na kuwapongeza wale ambao wameonyesha wazi kuwa hawakubaliani na fikra zangu.
Hiyo ndio tafsiri na maana halisi ya Maisha, kuna Usiku na Mchana, kuna Juu na Chini, kuna hasi na chanya.
Hatuwezi kuwa wote Upande mmoja.

Ninawaahidi( wote mnaonikubali na msio nikubali), nitaendelea kuandika na kutoa sehemu ya muda wangu kuelimisha, kuburudisha, kukemea na kuonya kadiri itakavyowezekana.

Sitaangalia USO WA MTU, sitaangalia idadi ya watakaosoma hata ikiwa ni MTU mmoja nitamuandikia huyohuyo.
Sitaandika Kwa unafiki na kumung'unya maneno.

Hivyo ndivyo nitakavyoutumia muda wangu nikiwa Hai.

Nawashukuru wote
 
Robert na nyuzi zake za kugandamiza wanawake hatutaki.

Malizia Wanawake wapumbavu
Robert Hana ubavu wa kuwagandamiza Wanawake wanaojiheshimu, wenye kujua nafasi zao, na wenye mchango chanya katika jamii.

Mtu yoyote mpumbavu lazima aone anagandamizwa na Robert.
Na Hilo kwangu sio tatizo
 
Back
Top Bottom