Watu tunakula the upepo wa bahari ya the indi.. wasituletee zao za kuleta 😀😀..Amstadam anateseka sana. Mwambie huku sisi hatuna habareeeeee..... Joni is humble, we lavu Joni, he is our chosen one.
View attachment 1658919
Tumejipumzisha kivulini tunasherekea Noeli
SafiHii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Ati amstadam anapata uchungu na sisiWatu tunakula the upepo wa bahari ya the indi.. wasituletee zao za kuleta 😀😀..
Maendeleo ni juhudi na kazi iliyobarikiwa na Mungu...
#Tanzania sio ya chama.. #Tanzania ni ya watanzania.. #Maendeleo hayana ubaguzi wala chama#
Acha uongo Kama hujui uliza, Uhuru Kenyatta na Luto walihudhuria mahakamani ICCMpaka wakashinda kesi kwa kukosa ushahidi, upo??Hii ni mara ya ngapi sasa ana file? Maana alishasema siku nyingi tu kuwa alisha file ICC. Hata Fatuma Karume alishasema ame file. Maria Sarungi naye kisha file. Waendelee ku file. Sisi ni sovereign country, haiwezi kushitakiwa na vigaragosi vya aina ya Fatuma Karume na vishoga vya aina ya Amsterdam na huyo mkimbizi. Amerika, China na nchi nyingi tu za ulaya si wanachama wa hiyo ICC. Sisi tuko huko at our plessure only, wakati wo wote tukipenda tunajitoa kama Kenya ilivyofanya walipoleta vigisu vigisu kumhusu rais wao Uhuru Kenyata.
Aah! Yule chenga kama chenga zingine.. dhamira na lengo lao baya.. kila kukicha wao wanaombea tupigwe vikwazo, ivi kweli uana akili sawa uombee nchi yako ipate matatizo kwasababu tu waliopo madarakani hamuendani ki mitazamo ?.... ndio utajua wale hawana nia nzuri.. hata kama unataka madaraka sio kwa style ya kuombea nchi mabaya.. hapo wame fail..Ati amstadam anapata uchungu na sisi
Miujiza hii😂😂😂😂
Hahahahahahaha!aaaaaaaaaKumbe ndio hivyo? Ndio maana Magufuli amesema hana appetite ya kula pilau la leo la Christmas?
😊😊😊😊😊When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Kuna ukakasi sana hapo.
Mkuu mambo ya wenzetu hayana mihemuko, utadhani utani ila utaona matokeo yake sio kama sisi, police anakukamata unatembelea vidole wao hawana hiyo kitu..Hata hivo mifano hai ipo mingi tu. Buyoya alikuwa na supporter kumshinda Joni ona matokeo,anazikwa ugenini na watu sita...wore mtamkimbia nyinyi badaeNi longo longo tu na porojo! Ni mjinga tu anayeweza danganywa!
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Wote watamkimbia,si miongoni mwao mimi kwani sijawahi na wala sitakuwa karibu na shetani!Mkuu mambo ya wenzetu hayana mihemuko, utadhani utani ila utaona matokeo yake sio kama sisi, police anakukamata unatembelea vidole wao hawana hiyo kitu..Hata hivo mifano hai ipo mingi tu. Buyoya alikuwa na supporter kumshinda Joni ona matokeo,anazikwa ugenini na watu sita...wore mtamkimbia nyinyi badae
Kabisa.... 👍👍Mungu wabariki Wazungu