Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Tuliambiwa Tindu atahutubia bunge la ulaya. Kumbe imebadilika!!
 
Mateso,shida na tabu zako zinakuhusu wewe na ukoo wako. Kama unasubiri mzungu yeyote aje kumaliza shida zako upeo wako wa kufikiri upo chini sana no wonder unashinda unatafuta nani ka tweet nini ulete Jamii Forums mshangilie na mapimbi wenzako. Hivi huwa hujishtukii kushinda FB,Twitter, JF unatafuta habari ya kukupa matumaini!!!??????????...., Mimi ndugu zangu wenye akili za kushinda wanalaumu serikali badala ya kutafuta solution ya maisha yao hata kwenye contacts nimewadelete. Tunajenga taifa la vijana wawalalamishi na WAPUMBAVU.
Kwahiyo mnaamini ulaya watamwondoa Magufuli!?,uchaguzi utarudiwa?,tutawekewa vikwazo sababu Lissu kakimbia nchi!??... Nyote hamna akili kabisa.
Ngoja waendelee kujifariji ili wasianguke kwa presha; maana kile kipigo cha Oktoba 28 ni "Unforgettable Kick!"
 
Sasa wewe mwenyewe ulishajizira, utajilinganishaje na mzungu.

Yani kwa wanachadema, mzungu ni mtu ila wao ni nyani.
Hakika wala hujakosea sijui ilikuaje mwenyekiti wa CCM Taifaalipomuona yule mzungu wa Barick alisema huyu jamaa ni mwanaume haswa.

Sijui aliona nini pale.
 
Makamanda kaeni msubiri mabeberu watawasaidia.
Tanzania kama taifa linasongambele kwa kasi.
Mungu azidi kumpa nguvu JPM azidi kuwapiga spana mpana muombe poo.
Bora awape nguvu wazungu na sio JPM hatufai kabisa. Mtu ambae hana utu hana maana isipokuwa kwa wale tu wanaofaidika na uwepo wake.
 
Makamanda kaeni msubiri mabeberu watawasaidia.
Tanzania kama taifa linasongambele kwa kasi.
Mungu azidi kumpa nguvu JPM azidi kuwapiga spana mpana muombe poo.
Bora awape nguvu wazungu na sio JPM kwani hatufai kabisa.Mtu ambae hana utu hana maana isipokuwa kwa wale tu wanaofaidika na uwepo wake.
 
Sawakabisa mke wangu mzuri wala hujakosea,hebu tangulia chumbani nije nikupooze hasira kwa protin za kutosha.
Kwa akili hizi bora upinzani muwe na mbunge mmoja tu bungeni anawatosha. Mnawaza ugolo tu vichwani ndo maana mnasubiri ukombozi kutoka kwa Amsterdam. Endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.
 
Asanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Waafrika hawawezi kujitawala Wala kujiongoza.
 
Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 1
Kwa akili hizi bora upinzani muwe na mbunge mmoja tu bungeni anawatosha. Mnawaza ugolo tu vichwani ndo maana mnasubiri ukombozi kutoka kwa Amsterdam. Endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.

Hakika wala hujakosea mama watoto,haya chukua hayo maembe na hizo nazi tangulia nyumbani nakuja.
 
Kwa akili hizi bora upinzani muwe na mbunge mmoja tu bungeni anawatosha. Mnawaza ugolo tu vichwani ndo maana mnasubiri ukombozi kutoka kwa Amsterdam. Endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.

Lkn maboss zako wanahaha viti maalumu waingie bungeni
 
Mateso,shida na tabu zako zinakuhusu wewe na ukoo wako. Kama unasubiri mzungu yeyote aje kumaliza shida zako upeo wako wa kufikiri upo chini sana no wonder unashinda unatafuta nani ka tweet nini ulete Jamii Forums mshangilie na mapimbi wenzako. Hivi huwa hujishtukii kushinda FB,Twitter, JF unatafuta habari ya kukupa matumaini!!!?...., Mimi ndugu zangu wenye akili za kushinda wanalaumu serikali badala ya kutafuta solution ya maisha yao hata kwenye contacts nimewadelete. Tunajenga taifa la vijana wawalalamishi na WAPUMBAVU.
Kwahiyo mnaamini ulaya watamwondoa Magufuli!?,uchaguzi utarudiwa?,tutawekewa vikwazo sababu Lissu kakimbia nchi!??... Nyote hamna akili kabisa.
Nyie ni mashetani na wauji wakubwa.Mmekosa utu kuliko hata wanyama. Piga kelele ila huo ndio ukweli

Utajenga Taifa kwa kuvuruga uchaguzi,kutesa na kunyanyasa raia.Pumbavu kabisa.
 
Hakika wala hujakosea sijui ilikuaje mwenyekiti wa CCM Taifaalipomuona yule mzungu wa Barick alisema huyu jamaa ni mwanaume haswa.

Sijui aliona nini pale.
Nyie ni wajinga!

Lisu pamoja na kukimbilia kwa Amsterdam, lakini aliwapa fursa ya kufanya maandamano bila kikomo mkajificha uvunguni! Sasa hao wazungu watawasaidia nini kama nyie wenyewe mmekaa kama mazuzu?
Kote wazungu walikosaidia kuleta mabadiriko wananchi walianza kwanza.

Nyie hapa mnakula ugali maharage kwa shemeji zenu alafu mnataka wazungu waone kuna shida hapa nchini?

Wajinga nyie!
 
Hizi ndio akili za kitumwa kumuona mzungu kama vile ni kiumbe wa sayari nyingine.

Trump anawafanyia fujo wamarekani wenzake, watu weusi wananyongwa kwa magoti ya polisi na kupigwa risasi, nani anayemfungulia kesi Trump huko ICC?.
 
Back
Top Bottom