greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,319
- 3,930
Unazungumzia watanzania gani? We juzi ulimsikia kiongozi wenu VOA anasema kuwa Watanzania hawapo tayari!!! Na ndio iko hivyo watanzania hatuko tayari kufanya ujinga.Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama ,endapo PM anazodolewa hadharani!? anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.