Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama, endapo PM anazodolewa hadharani!? Anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.
Kuna watu wanahisi wazungu wana wapenda sana, yaaani Taifa lako likajadiliwe na taifa jingine, Uphala huuu
 
Wewe Una urafiki na mzunguuu au ndo kujipendekeza kwao.

Na wakati black wenzio wanauliwa huko kwao kama kuku wa kizungu alafu wewee unawaita rafiki zako
Baada ya kuuawa blacks huko kwa Wazungu, kuna kampeni ya "Black Lives Matter" ambayo rafiki zetu Wazungu wanaiunga mkono.

Roho za watu zilizopotea huku Bongo wakati wa uchaguzi... je, ushawasikia hawa wakoloni weusi wakiruhusu kampeni yoyote ya kupinga mauaji au kuomboleza?

Wakati ule Tundu Lissu alivyomiminiwa marisasi Watanzania walipotaka kufanya ibada walitishiwa kuvunjwa miguu!

Aisee kwa upande wangu huniambii kitu.. mimi ni "Wazungu oyee!" hadi utimilifu wa dahari!
 
Kwani kufanya ibada mpaka mfanye wote.

Ilishindikana vipi kufanyia kwako
 
Amsterdam pumbaf, sisi watanzania tumemchagua kiongozi wetu Mh. Rais JPM, sasa yeye na Lissu wanataka kutuchagulia kiongozi wao kwa nguvu? This guy is immoral, nasty..!! Beberu anafikiri sisi bado mazuzu, pumbaf
Nani kamchagua? Kulikuwa na uchaguzi au uchafuzi?
 
Huo Uhuru umetusaidia nn Hali hatupo huru dhidi ya umasikini,magonjwa,ajira,njaa afrika nzima wanaofurahia matunda ya Uhuru hawazidi 15% asilimia kubwa wanaishi dhoofu Hali tofauti na kabla ya Uhuru ambapo ajira zilikuwepo, biashara zililipa kilimo kililipa.Huwezi kuwa huru wakati huna demokrasia,hatma ya maisha yako inaamuliwa na mtawala hakuna demokrasia hakuna maendeleo.

sasa wewe unataka kila mtu atajirike? haiwezekani, capitalism haipo ivo! au hujui maaana ya capitalism? nadhan tushaskiliza izi Pumba zenu za demokrasia na tushazichoka, nadhan muanze kwa kuonyesha mfano! wekeni mwenyekiti mpya kwanza tujue nyie sio wachumia tumbo
 
Huo Uhuru umetusaidia nn Hali hatupo huru dhidi ya umasikini,magonjwa,ajira,njaa afrika nzima wanaofurahia matunda ya Uhuru hawazidi 15% asilimia kubwa wanaishi dhoofu Hali tofauti na kabla ya Uhuru ambapo ajira zilikuwepo, biashara zililipa kilimo kililipa.Huwezi kuwa huru wakati huna demokrasia,hatma ya maisha yako inaamuliwa na mtawala hakuna demokrasia hakuna maendeleo.

nmenotice most of your comments ni off knowledge, yawezekana unajitahidi kutetea sjui watu ni maskini na huelewi dunia ipo wap, Tanzania yenyewe hakuna matajiri wa kutisha, kuna watu wanamiliki uchumi wa nchi nzima peke yao wewe unashangaa matajiri wa tanzania, nadhan bado akili yako haijawa settled kujua tupo capitalism. and same time huezi bishana na mfia chama! all favours unazoongea kwa upande wa chadema they still seem useless
 
Sina uchama ni mrealistic sera mbovu na mifumo mibovu ndio kitanzi chetu
 
Back
Top Bottom