Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,680
Amsedani buaana anatumkwara mbusi mbusi kweli kama Lissu. Ndege wa mbawa zifananazo.
Unamjua Hitler? Unamjua Benito Musolin! jumlisha hao wote afrika wote waliowaua alafu uje unipe hesabu alafu nkwambie benito Musolin aliua wangap?
- So ulikua unasubiria raisi ambae atafanya uwe tajiri? 😂 😂 😂 😂 , rasilimali gan izo unaongelea? Watu kama nyie mnawaza ajira 24 hrs mnategemea nchi inaiendelea vp? kilakitu serikali? kwani sehem gan duniani serikali imetajirisha mtu? Simu zmevumbuliwa na watu binafasi, ndege unazopanda watu binafsi,makampuni makubwa yote ni watu binafasi weweunasubiria serikali?
we unadhan tukiendelea kua maskini tutamlaumu nan? wengine wanakuna vichwa wewe unasubiria serikali? what type of human are you
Kiongozi aliyechaguliwa na tume na kiongozi aliyechaguliwa na wananchiAmsterdam pumbaf, sisi watanzania tumemchagua kiongozi wetu Mh. Rais JPM, sasa yeye na Lissu wanataka kutuchagulia kiongozi wao kwa nguvu? This guy is immoral, nasty..!! Beberu anafikiri sisi bado mazuzu, pumbaf
Halafu kuna pumbavu moja lipo TBC limepewa ukurugenzi linaropoka ujinga kuhusu mfumo wa kiliberali. Ni jinga fulani. Linapaswa kurudi shule. PhD zingine ni za kama za kina Mahera. Takataka.
True then kuna mradi Mkubwa sana wa kupeleka bahari ya Hindi chattotown ili meli zote kubwa zifike kulewacha nkuumize zaidi, Tanzania itaingia mkataba mwingine kujenga reli mpaka angola! Imebaki kutia saini mradi uanze, just die man
Huo Uhuru umetusaidia nn Hali hatupo huru dhidi ya umasikini,magonjwa,ajira,njaa afrika nzima wanaofurahia matunda ya Uhuru hawazidi 15% asilimia kubwa wanaishi dhoofu Hali tofauti na kabla ya Uhuru ambapo ajira zilikuwepo, biashara zililipa kilimo kililipa.Huwezi kuwa huru wakati huna demokrasia,hatma ya maisha yako inaamuliwa na mtawala hakuna demokrasia hakuna maendeleo.Chuki? Kwahio uhuru aliopigania nyerere ilikua ni chuki? uko sawa upstairs? ebu tupige mahesabu ya haraka haraka chukua WW1 + WW2 nipe idadi ya waliokufa alafu leta idadi kama hio kuwahi kutokea afrika nzima, (hii ni kwa kuanza tu, unamjua hitler wewe, Benito Musolin unamjua?)
-
Good tufungiwe misaada yote na wahisani
Chuchumaa ufiche utupu wako. Hakukuwa na Uchaguzi Mkuu Tanzania. Kilichotokea Ni Uchafuzi Mkuu. Subiri vielelezo mahakamani the Hague.Amsterdam pumbaf, sisi watanzania tumemchagua kiongozi wetu Mh. Rais JPM, sasa yeye na Lissu wanataka kutuchagulia kiongozi wao kwa nguvu? This guy is immoral, nasty..!! Beberu anafikiri sisi bado mazuzu, pumbaf
But what about the economic situation? Health? Education? Is Tanzania all about politics?Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Colonialism ended and we are a sovereign state. We shall neither kneel nor surrender our diginity and faith to a whiteman. We are God's belongings and not the otherwise. Decide whatever but do not forget to save into your idiotic and diabolical brains that our stance is clear, still and steady. We are Tanzanians. Period!Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Hawa watu wa hivi binguni watapasikia tu!Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Itakuwa LIVE hapa > https://multimedia.europarl.europa....reign-affairs_20201119-0900-COMMITTEE-AFET_vd
Du!Wakanada wanamtizamo fulani amazingCanada criticizes Tanzanian election and arrests of opposition leaders, but won’t withdraw recognition
Independent analysts say the Oct. 28 election lacked credibility after opposition candidates were almost entirely defeated, despite months of huge campaign rallieswww.theglobeandmail.com
Lengo wananchi wapate akili wadai haki zaoWaathirika ni sie na sio hao mabepari wanufaika wa Kodi zetu wao walishazirundika hata wasipofanya kazi uendelea kushiba tu
Tumeshindwa ndiyo maana yupo madarakani kibatiliKwani sisi wenyewe tumekwisha shindwa?
Nani amelalamika familia yangu inashida?Leta na familia ako nikutunzie maana misaada hutapata
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wewe Una urafiki na mzunguuu au ndio kujipendekeza kwao.Asanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Hahahaha Wazungu wanakujaliii etiiiiInasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana, yaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu.