Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

Hivi huyu jamaa bado yupo?
Namuonea huruma sana nikikumbuka barua zake lukuki na matamko yake kule Twitter ambayo mpaka sasa sijaona impact yake.
 
Huu ni upumbafu mkubwaaaa ndo kusema huyo Amstarderm ana huruma sana na wananchi wa Tanzania, aende zake awaonee huruma nchi yake ambao janga hili pia limeua maelfu ya watu. Tanzania ni nchi huru ina misimmamo yake na wala haiwezi ingiliwa
Mpumbavu ni nyie CCM yaani kweli na vifo vyote hivi bado huoni umuhimu wa kilichoandikwa!Kisa tu Magu anakupeleka chooni
 
Huyo hana akiri anatafuta wanaume tanzania.
Amekiwa msemaji wa watanzania?
Kwa hiyo huko aliko watu kwa sasa hawafi na corona au ni umbea wake tu.
 
Sas serikari ikishajua kuwa hali ni mbaya itafanya nini?
Huko ulaya serikati zinazojua kuwa hali ni mbaya ugonjwa umeisha na watu hawafi?
 
Hiyo kaandika Tundu Lissu. Afu nchi ni yetu siyo ya Amsterdam. Pumbafu kabisa.natamani niende msituni nipambane na mashetani haya.mbwa kabisa
 

EU imetoa ngapi Kwa Corona relief sio tu Tanzania bali nchi nyingine za Afrika?
 
sisi tunao ishi ndani ya Tanzania ndio tunajua mambo makubwa ya kimaendeleo aliyo yafanya kwa ajili ya watanzania.
hayo mengine ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Itakuwa unetekwa kiakili ndiyo maana huyaoni
 
Kuna siku Tanzania itashitakiwa kusambaza virus vya Coron Duniani..

Chanjo mmegoma
Barakoa hamvai
Kuweka umbali kati yenu mmegoma
Kupima mmegoma
Kutoa record za Corona mmegoma

Yaani sisi ji kama kuishi na jirani mkorofi.
 
Kuna watu hawana akili kabisa. Kwani nani amesema Tanzania hakuna corona? Kila muda Rais anasema watu wachukue tahadhali,sasa anatoka mbwa mmoja hata hakai Tanzania anaanza kuharisha harisha kama Malaya. Period
Amsterdam ni sawa na Mbwa wa stesheni hang'ati....
 
ULISHINDWA UCHAGUZI HATUKUHITAJI TENA. TUNADHANI VILEVILE R.AMSTERDAM NI FAKE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…