Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

Huko Uswahilini unapopadharau ndipo mlikesha kuomba kura na ndipo mliiba kura kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu acha ufala wako , Tambua kuwa Amsterdam ni mtetezi wa haki za binadamu ana pesa zake na taasisi za haki za binadamu humfadhili Duniani kote.
 
Kwani ni hadi alipwe? Yan CCM mkikaa mnawaza tumbo tu
Polepole kasaka wanasheria Sweden kala nao dili walete Bajeti kubwa ana 10% zake humo,hao ni wafanyabiashara wakubwa wa michongo ya kiusumbufu wapo busy kutengeneza mazingira ya kujidai kuitetea CCM kwa kumvuruga Amsterdam kisakologia wakijidai kuitetea CCM kwa njia haramu za kishetani, huo mchongo upo mbioni kuja maana huko CCM kila kitu ni fursa kwa wajanja wachache wanaojinufaisha kupitia fursa hii ya kurejesha mfumo wa chama kimoja.
 
Bujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia

Bujibuji ww Ni kiaz kweli
Ukombozi gani ww unataka
Hili taifa wapuuz tulipa nchi ndio maana Hadi leo waTz masikini
Leo amekuja mtu kuinua waTz watu wajinga Kama bujibuji wanapinga ...
Fala kabisa ww bujibuji na wananchi
 
Bujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia
Toka enzi za Yohana mbatizaji waliambiwa ufalme wa mbinguni umekaribia. Chadema nao wanatuambia ukombozi umekaribia.

Tuendelee kuusubiri huo ukombozi kupitia kwa wakoloni mambo leo mpaka Yesu arudi.
 
Bujibuji ww Ni kiaz kweli
Ukombozi gani ww unataka
Hili taifa wapuuz tulipa nchi ndio maana Hadi leo waTz masikini
Leo amekuja mtu kuinua waTz watu wajinga Kama bujibuji wanapinga ...
Fala kabisa ww bujibuji na wananchi
Kuinua watanzania ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuwainua watanzania ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?
 
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.

Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?

Tanzania kama taifa tuwe makini.

Maendeleo hayana vyama!
Hakika tafakuri jadidi, kama pesa za kampeni tu waliwachangisha watanzania hasa maskini, unadhani watapata wapi pesa za kumlipa Amsterdam.

Jambo lingine la kushangaza walisema Amsterdam ni mwanasheria wa Tundu, sasa hivi tunamuona hadi anashughulika na Chadema, swali langu je Amsterdam ni mwanasheria wa Chadema pia?
Watanzania tufumbue macho.
 
Hoja sio analipwa nani! hoja iwe ni makosa gani mazito yaliyowasilishwa huko na yanawahusu akina nani!
wakoloni walipomshtaki Mwalimu Nyerere (RIP) waliomtetea walikuwa ni wazungu baba tia akilini.
 
Huko Uswahilini unapopadharau ndipo mlikesha kuomba kura na ndipo mliiba kura kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu acha ufala wako , Tambua kuwa Amsterdam ni mtetezi wa haki za binadamu ana pesa zake na taasisi za haki za binadamu humfadhili Duniani kote.
Kumbe!
 
Mbona ume under estimate financial capability yake .. Nikupe siri moja huku mitaani kuna watu wanazo hela zaidi ya hao watanzania unaowaskia wakitajwa na Forbes
 
Wale walioonekana na Kura Feki walilipwa na nani kuchapisha na kuziwekea vema kura zaidi ya 10k?
 
kusema kweli kudeclare interest....rais Magufuri ana huruma sana ..Mimi ningekua eneo lake ningemfanya Tundu lissu kama President Putin did to Alexander Litvinenko huyu mtu ni mhaini ....Amsterdam and partner ni kampuni ya canada,ndege yetu ilikamatwa canada,barick gold makao makuu canadsa...Tundu Lissu katoka Ubelgiji kaenda canada...Na hii kampuni haichukui chini ya billion tano kama malipo unakuja na ujinga wa Pro-Borno...ni bange au Unyumbu

The previous firm, Foley & Lardner, backed out of a $12.5 million, five-month contract after Scott in a letter urged his Senate colleagues to boycott the firm. In a filing with the U.S. Justice Department on Friday, Foley said it had transferred to Amsterdam & Partners all funds - a little more than $1 million - it has received from its client.

Ana huruma ipi?...kwa nini analizimisha kuongoza watu ambao hawakumpa kura yeye na wabunge wake?
 
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.

Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?

Tanzania kama taifa tuwe makini.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani majeshi ya Burundi walilipwa na nani walipokuja kufanya mauaji huko Zanzibar?
 
Back
Top Bottom