Robert Alai: Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night

Wewe una ndugu aliyekufa na kuzikwa nyinyi ndugu hamkutaarifiwa?

Kuzikwa usiku sio issue , kwa sababu kuna weza kuwa ideal sababu ya logistics na utulivu unaokuwepo usiku tofauti na mchana mashughuli Mengi ktk mini yetu.
Basi tuweke hivi hakuna korona wala hakuna vifo Tanzania mambo yote yametungwa na Mabeberu wa Chadema hapo vipi?
 
Tuambiane tu ukweli, kuna ongezeko kubwa la vifo ndani ya wiki hii, mara mbunge, mara mkuu wa wilaya, mara mstaafu wa CTI, mara mstaafu wa CUF

Halafu mazishi...watu wasiozidi kumi? Je, wanafariki kwa magonjwa mengine au magonjwa mengine yanapelekea magonjwa mengine kuwaua?

Huko makaburini Ununio na pengine, raia wanazikwa usiku chap chap... Why? Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night-Robert Alai

Kwanini misiba ya siku hizi inazikwa na serikali?

Corona haikwepeki:

Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania
Mchungaji Augustino Ramadhan ametutoka
 
Nimesikia mtoto wa Edward Lowassa amefariki asubuhi hii. So sad! Tutakwisha yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kwenye makanisa na misikiti ibada mikusanyiko unayoisema hapa haijazuiwa we mbwa?
Kama ulivyo wewe mbwa basi kila mtu unafikiri ni mbwa?

Makanisani taratibu zimeshatolewa, viongozi wa dini wanasimamia ipasavyo usafi, uvaaji barakoa na distancing.

Najua wewe akili ulishamkabidhi Mbowe lakini taratibu tutaelewana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geza Ulole huonekani hapa jombaa, una pita pembeni kimya kimya! waimba mapambio sijui mtajificha wapi

cc mwaswast Tony254 MK254 Kafrican

Halafu muhimu wachangiaji wa Tz wale huwa wameganda kwenye Kenyan jukwaa wawe wanatoa tamko walau hata mara moja kwa siku, maana sio poa wiki inaisha mtu hajasema kitu kwenye kipindi hiki tunaona video za wanavyodondoka huko kwao, wale wote akina sijui mkikuyu timamu, jiwe la moto na wengine wote, atleast tuwe tunajua wako hai bado.

Hivi yule aliyekua anaitwa kadoda alipotelea wapi, tatizo lao wakihema hutoweka ghafla.
 
Kama ulivyo wewe mbwa basi kila mtu unafikiri ni mbwa?

Makanisani taratibu zimeshatolewa, viongozi wa dini wanasimamia ipasavyo usafi, uvaaji barakoa na distancing.

Najua wewe akili ulishamkabidhi Mbowe lakini taratibu tutaelewana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We nyang'au kanisa gani wanasali watu kumi tu? Huko kwenye maziko inashindikana vipi kufanya utaratibu kama huo unaousema unafanyika makanisani na misikitini? Corona imekuja kuwaondolea hicho kiburi na dharau zenu, shenzi wewe.
 
Tuambiane tu ukweli, kuna ongezeko kubwa la vifo ndani ya wiki hii, mara mbunge, mara mkuu wa wilaya, mara mstaafu wa CTI, mara mstaafu wa CUF

Halafu mazishi watu wasiozidi kumi? Je, wanafariki kwa magonjwa mengine au magonjwa mengine yanapelekea magonjwa mengine kuwaua?

Huko makaburini Ununio na pengine, raia wanazikwa usiku chap chap... Why? Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night-Robert Alai

Kwanini misiba ya siku hizi inazikwa na serikali?

Corona haikwepeki:

Mombasa Billionaire Who Escaped Quarantine Dies From Covid-19 in Tanzania
Huko ni kujali wananchi!
 
Basi tuweke hivi hakuna korona wala hakuna vifo Tanzania mambo yote yametungwa na Mabeberu wa Chadema hapo vipi?
Sipo hivyo ila napingana na propaganda zisizo na mpango or to sensationalise the issue or services or the leadership
 
Back
Top Bottom